Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi tuliza kalio lako. Also remember there is no slums in Kigali, unajua hilo?
Unajua hii sehemu ya Dar ni kubwa kwa idadi ya watu inakaribia kuizidi population ya Rwanda.., hii sehemu ni kubwa kuliko Nairobi!!!,.
1716979519875.jpg
 
Vumilia tu, mtafika na nyinyi pia.., hehehe

View: https://youtu.be/NLGROHJEais

As long as Nairobi inapambana na Kigali is a westage of Time kuanza kulinganisha might Dar es salaam na Slums City of Africa (Nairobi).

By the way, is this Mombassa or tusubiri nyingine? 👇 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣

1729139584295.png
 
As long as Nairobi inapambana na Kigali is a westage of Time kuanza kulinganisha might Dar es salaam na Slums City of Africa (Nairobi).

By the way, is this Mombassa or tusubiri nyingine? 👇 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣

View attachment 3127252
Limeumia halina jibu linatapatapa tu hehehehehe.., stick to your lane idiot:Agakakskagesh::Agakakskagesh::Agakakskagesh:
 
Picha ya 2011 more than 10 years ago
Ukweli inakuacha hoi.., unataka na google earth ya October 2024 nikuaibishe wewe kilaza? hehehehe..., Kenya sio CCM republic ya propaganda.., nitakuumbua wewe, nikome! hehehe
 
Ukweli inakuacha hoi.., unataka na google earth ya October 2024 nikuaibishe wewe kilaza? hehehehe..., Kenya sio CCM republic ya propaganda.., nitakuumbua wewe, nikome! hehehe
Mzee unatuletea picha za 2011 unadhani sisi ni Mama Ngina dust bin kama wewe? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwaiyo kama wawekezaji hawapatikani tutakaa hivyo ? Mbaya zaidi mmeweka wajinga kama kina kafulila pale , mnategemea nini ? Mbaya zaidi mama yenu hata hajui kinachoendelea maskini ya Mungu .
Hiyo barabara kutoka chalinze kuja Dar ni Kero kubwa. December nilikuwa na watoto kidogo tulale njiani. Kero kubwa.
Sidhani kama serikali haiwezi pata usd 400milioni kufikisha hii barabara Walau Morogoro.
Mimi nilishachoka kusema kabisa.
Hivi hio Barabara wanashindwa kuipanua at least each year Km 30 tu kwa pesa za ndani.
Hiv hela wanazopata wanazipeleka wap...mpaka waanza kulipisha watz kwenye Barabara muhimu kama hio? Tayari magari yana mikodi mikubwa na sasa bado watu walipe tena kutumia Barabara.

Na nakwambia hakuna mtu atawekeza kwenye hiyo Barabara huku akiona SGR iko pale na Barabara ya zamani ipo pale. Na naomba wasipatikane ili Serikali ipate akili
 
A simple walk in Dar CBD vs a walk in Nairobi CBD.., tofauti kubwaaa!!.., mko nyuma sanaaaaa!! CBD moja zaidi ya hapa hamna nyingine na Nairobi Old CBD bado inailaza!! Dar ni Mombasa tu
Dar

View: https://youtu.be/JhDE7mtHhCM

View: https://youtu.be/iUGboQnpqdU

in Nairobi ni CBD pekee, hakuna Westlands, Upper Hill, Eastleigh, Parklands or Kilimani..., Dar iko miaka 50 nyuma ya Nairobi., BRT isiwadanganye vilaza
NBO

View: https://youtu.be/imuiMX6Kyyo

View: https://youtu.be/VNLqnwoJqmM

Naona kisutu na other Indian streets zimekuwa CBD ya Dar siku hiz. Wew ni kichaa tu.
 
Naona kisutu na other Indian streets zimekuwa CBD ya Dar siku hiz. Wew ni kichaa tu.
Kwani mna nyingine zaidi ya haya, najaribu kuwa okoa, Nairobi nawapea tu old CBD.., nyie yenu yoote na bado, elewa bwana hamna mengi ni BRT tu., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.., Mombasa mwenzenu na zaidi kidogo..,
 
Size of Mombassa is 218.9 SQR KM We cannot discus with a city that resembles to a dot 🤣 🤣 🤣 🤣
Ukubwa wa Dar ni hapa👇 na idadi ya nyie mafukara boss🤣🤣🤣., so we can not discuss with a city yenye ni 90% underdeveloped.., Mombasa imejengeka sehemu kubwa kuliko Dar is slum.., hard fact!!!
FB_IMG_1722001850497.jpg

Mombasa
1719316187427.png
 
Ukubwa wa Dar ni hapa👇 na idadi ya nyie mafukara boss🤣🤣🤣., so we can not discuss with a city yenye ni 90% underdeveloped.., Mombasa imejengeka sehemu kubwa kuliko Dar is slum.., hard fact!!!
View attachment 3127256

Mombasa
View attachment 3127258
Picha uliyoweka naikumbuka ni ya 2007. Ninakushukuru sana kwa kuweka picha ya ukumbusho, hadi nimetoa machozi.
 
Back
Top Bottom