concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Hapo kumbuka mzigo unaopitia tz umepanda kwa asilimia 50. Kwahiyo tatizo la foleni likiisha tu jua Mombasa baibaiDP World effect 🔥🔥Mombasa loses 17pc cargo to Dar, causing congestion Mombasa loses 17pc cargo to Dar, causing congestionView attachment 3116181
Few kwa sababu hawana zaid ya zile alizoacha kibaki.Which expressway, the same built and financed by China?
The few kilometers SGR I know or you guys have something else?
What the F*ck do you mean by "several"?
Renovation of these stadiums are enabled by loans. Your government is flat broke.Do you know the number of affordable housing going on Kenya currently? Do you know the number of small stadiums being built in Kenya currently? Kasarani inajengwa na pesa yako ama? Talanta ni pesa yako? Na Nyayo pia inakuwa renovated na pesa yako? Extension of commuter rail Ngong’ inafanya kwa pesa yako ama? Konza inajengwa kwa pesa yako?
Huwa mnatumia hilo neno kujielimisha kiholelaholela hadi limekosa maana. Kama juzi nikapiga picha ya Barabara mbovu Moshi nikapost, Mvumbistan mwengine ananiambia eti nijielimishe eti Barabara hiyo ilishaapigwa lami. Yani mimi nipo hapo naona vumbi yeye ako Manzese ananiambia nijielimishe. Kitu kinaonekana wazi nijielimishe Nini bradhee?🤣🤣Duh! Kweli nyie ni shida kuelewa vitu. Why usijielimishe kidogo?
Ni kama hujui kusoma. Nimekueleza CBD yetu iko katikati mwa jiji, yenu ipo pembeni mwa jiji. Nini huelewi?If umesoma majibu yangu kwa menzako utakuta nimesema maeneo yaliyo over 30km from CBD. While kwenu ushatoka tayari Nairobi.
Rongai ni jina la Kimaasai. Lipo eneo zote zilizo na Wamaasai. Hapa Kenya kuna Rongai mbili, ya Nairobi na ya Nakuru na zote zimedevelop kuliko hiyo Rongai yenu ya mpakani. Alafu kama ushawai tembea Rongai ya kwenu ukiteremka from Kenyan border ukielekea kuna mahali panaitwa Enkare Nairobi na husikii tukipiga kelele. Shida yenu mnapenda kuwa victims hadi mtu akipumua mnasema amewaibia concept ya kupumua. 😂 😂Mnaiba mpaka jina la Rongai! Eti Ongata Rongai!
Sasa unasema viwanda vyote Kenya vipo Nairobi alafu unataja AVA na Marcopolo. AVA ipo Mombasa wee fala. Unadhani Kenya ni one city state kama Vumbistan. 😂 😂 😂Prove kwa flight data ndege ya raisi ikiwa Nairobi au toa proof yoyote zaid ya hearsay za mtandaoni
View: https://youtu.be/0qS_D_k4KWk?si=ijZIERmJcQ3TTXbY
In terms of what ? Tanzania economy Iko diversified, wakati Nairobi viwanda karibia vyote vimelazimishwa kujenga Nairobi, Tanzania ujenzi wa viwanda vipya vyote uko njee ya dar.
Hata hiyo Marco polo mnayoisifia wanafikiria kukimbilia dar es salaam kwa sababu Kenya imeonekana hamna uwezo wa kununua hayo magari, pamoja uwepo wa assembling yake AVA , Bado mmeshindwa kumeet Ile minimum quantity ya units zinazoweza pelekea faida.
Wakati kwa mwezi September Kuna units zaid 100 za mabus zilizonunuliwa kwa tz, Kenya bus companies hakuna hata units 30 kwa nchi nzima
Sijui, niambie ni nini?Hivi unajua maana ya CBD kweli wewe?
Anasema nijielimishe eti. 😂 😂It's called Buuni. Pure rural. Hata kwetu nyumbani ni afadhali kuliko Buuni, Chanika na Mvuti
Hapo pembeni panaonyesha jinsi nyuma ya hiyo street kulivyo.😂😂
Chagua nchi yako ipo wapi?Huwa mnatumia hilo neno kujielimisha kiholelaholela hadi limekosa maana. Kama juzi nikapiga picha ya Barabara mbovu Moshi nikapost, Mvumbistan mwengine ananiambia eti nijielimishe eti Barabara hiyo ilishaapigwa lami. Yani mimi nipo hapo naona vumbi yeye ako Manzese ananiambia nijielimishe. Kitu kinaonekana wazi nijielimishe Nini bradhee?🤣🤣
Hii hapa Google image ya hilo eneo, 100% ushagoo, yet linahesabika as part of the 1500 sq. Km mnayoshinda mkitamba nayo humu alafu unaniambia nijielimishe. Kwa lipi?🤣🤣☺️
View attachment 3116210
Ushango ndio nini?Huwa mnatumia hilo neno kujielimisha kiholelaholela hadi limekosa maana. Kama juzi nikapiga picha ya Barabara mbovu Moshi nikapost, Mvumbistan mwengine ananiambia eti nijielimishe eti Barabara hiyo ilishaapigwa lami. Yani mimi nipo hapo naona vumbi yeye ako Manzese ananiambia nijielimishe. Kitu kinaonekana wazi nijielimishe Nini bradhee?🤣🤣
Hii hapa Google image ya hilo eneo, 100% ushagoo, yet linahesabika as part of the 1500 sq. Km mnayoshinda mkitamba nayo humu alafu unaniambia nijielimishe. Kwa lipi?🤣🤣☺️
View attachment 3116210