President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Nilikuwa naisubiri sana hii. Bado Mwenge na Magomeni.
Umeona huo ukuta hapo ambao hauna rangi hiyo ni nyumba ya mama Mkapa hapo karibu na junction ya kwenda Shant na Moshi club hapo pote lami. Hunidanganyi kitu mitaa hiyo.Nimeipiga hii picha mwenyewe juzi alafu unasema ni ya Zamani? Kweli Bongolala ni bongolala tu. Yani mkishashikwa makende mlichobakia nacho kila mara ni kwamba picha ni a Zamani. π π
hatuna ukabila kama nyie ndio mana jina la mboya <ukoo> unawezalikuta mkoa mwingine na likiwa na mana hiohio bila kuathiri kitu, kiufupi tuetapakaa kote tz nzima kabila zote tumechanganyana kitu kwenu hamuwezi.Bro, hapo ni Moshi na nimeipiga picha mwenyewe. Hapo pembeni kulia ni gari langu nililokuja nalo. Yani nyinyi ni mazuzu kweli. Hamjaitembea nchi yenu mimi mgeni nawaonyesha ilivyo. π π π
Yani hivi kulingana na akili zako jina linalofaa kuandikwa Moshi ni Moshi tu? Kwa hivo ile guesthouse ya Isiolo Motel haipo Moshi, ipo Isiolo? Yani huna akili kabisa, ni kama unafikiria kwa makalio.πππ
Hiyo ni Mboya Petrol station iliyo Moshi. Haimaanishi hapo ni Mboya wee boya.
Proof hii hapa - na mtembee nchi yenu mpo humu mnabishana kila siku wakati hata nchi yenu yenyewe hamuijui. Mnajua tu Dar na vijijini mlimotoka. π π π
View attachment 3113390
NairobiWalker Teargas nairobae mna adjectives gani ya kupindua hapo?jamani mpaka JKiA so wataosha vipi vinyesi vyao πππππ
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1841417461972742211?s=46
Wee acha bana ni unclassified ππ
Mwambie huyu hapa anaitwa Malaika Cute. Mama Yake Mchaga, Baba yake Msukuma, Wazazi wake Waislam lakini kalelewa na Babu zake Wakristo.hatuna ukabila kama nyie ndio mana jina la mboya <ukoo> unawezalikuta mkoa mwingine na likiwa na mana hiohio bila kuathiri kitu, kiufupi tuetapakaa kote tz nzima kabila zote tumechanganyana kitu kwenu hamuwezi.
Hivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Zinaongezwa mbili zitakuwa 8. Mbili za BRT na zingine tatu tatu kila upandeHivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Ngoja wa Dar waje kukupa majibuHivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Mwezi huu si zinaingia behewa za mizigo 260 units, treni za gorofa na engines zake 2 ama?
Huku TZ tulishatoka zamani sanaKwale Stadium taking shape.
Kule kwingine anapoweza kuteka mji kwa siku 3 ataenda lini? π€£π€£π€£
Kiwanda cha Samsung kiko mbioni πRais wa Sumsung Yupo Bongo. Wanaenda kwenye pesa tu.
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1841820569467052157
Nje ya mada kidogo,naomba kunyan wakagoogle kujua kampuni ya sinota inamilikiwa na kina naniMtwara Port ni π₯π₯ ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAogoiGuRbj/?igsh=ZDg2Y25mM296Ymd3
Soon tutaanza ku manufacture trains in Tanzania πAcheni ujuha na kuassemble mabus sisi tupo ktk kuunda ndege π
sijapita hio njia muda sana sijui kunaendeleaje.Hivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Ok kwahiyo wanaongeza Lane moja moja kila upande sio?Zinaongezwa mbili zitakuwa 8. Mbili za BRT na zingine tatu tatu kila upande
View: https://youtu.be/NPICS-64fjI?si=sfBvdW3UVd37kzBQ
Lami yenyewe iko wapi basi? Ama nimeedit picha na photoshop nikaitoa? π π πUmeona huo ukuta hapo ambao hauna rangi hiyo ni nyumba ya mama Mkapa hapo karibu na junction ya kwenda Shant na Moshi club hapo pote lami. Hunidanganyi kitu mitaa hiyo.
kaka bora niishi na mbuzi au kuku lakini sio mkenya πππππ