Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Vile inasonga mbele ndi watanzania wanazidi kutumia Mombasa Port😂😂Endelea kuota. Dunia inasonga mbele hairudi nyuma my sister
Vile inasonga mbele ndi watanzania wanazidi kutumia Mombasa Port😂😂Endelea kuota. Dunia inasonga mbele hairudi nyuma my sister
Aliyekuroga kafa. Huna tiba tenaVile inasonga mbele ndi watanzania wanazidi kutumia Mombasa Port😂😂
Wewe endelea kuwa shoga.Aliyekuroga kafa. Huna tiba tena
Hiyo $500 mln ni mradi mmja wa HEET
Kuna $500mln tena ya Mradi wa Maji wa Miji 28
Kuna $ 700 za Uviko 19
Yaani hizo ni peanut tuu ila mamiradi ni mengi Kila sekta,mfano 👇👇
View: https://x.com/ortamisemitz/status/1840085645324365975?t=oZmHDwiTJSbRSon_mk3HkA&s=19
Kwenye ile video ya youtuber wa Kenya kwenye SGR ya Dodoma kuna jamaa kasema yeye anafanya kazi Dodoma anakaa Dar na anaenda na kurudi kila siku! Nimejiuliza jamaa anafanya kazi gani?
Kila mtu anasema vyake hakuna mtaalamu hata mmoja na isotoshe hawa wachambuzi wetu wako hovyo sana hawajui sheria za mpiraMbona zilichambuliwa na makosa yakaonekanika!?
Au hukuwasikiliza kina Mbwaduke!?
Broo acha bas.Kila mtu anasema vyake hakuna mtaalamu hata mmoja na isotoshe hawa wachambuzi wetu wako hovyo sana hawajui sheria za mpira
Mimi silaumu wachina ila nalaumu mwenye mradi huwezi ukakubali design za kindezi vile bila shaka kutakuwa na rushwa.Ila hivi vibanda Wachina wamezingua sana.
Standards of living sio ukubwa wa mji na hii kauli sijaja nayo wakati huu. Ni jambo linalojulikana kwamba kilimanjaro province ina highest standards of living Tanzania. Tofautisha standards of living na infrastructural development. Mfano, hapa Kenya Nairobi ndiyo iliyo na highest GDP, highest GDP per capita na most infrastructural development ila haijawai kuwa top ikija kwa standards of living. Utakuwa mjinga kudhani Dar ndio ina highest standards of living hapo Bongolala. Na sio eti nimesema mpo juu, Yani Kilimanjaro ipo juu hapo bongolala tu. Hii hapa MoshiDuh! Ikiwa hiyo Moshi tu unaandika hivi I can't imagine ukifika Dar, kweli ile kauli ya kwamba Most kenyans mpo on propaganda na mnahold picture ya Tanzania ya Enzi za Kibaki ni True, eti Moshi Highest Standards of living.
Akisema Osman Kazi mimi namkubali sana maana yeye ameshawahi kuwa referee lakini sio hawa wengine wachambuzi maandazi.Broo acha bas.
Kina Osman Kazi hawajui sheria za mpira!?
Endelea na Garages zenu huko mkiziita Assembly wakati huku Dar kila kona zimejaa. Sisi kwa sasa tupo huku. Tunashindana na USA, Russia and China
NDEGE YA KWANZA KUTENGENEZWA TANZANIA YAANZA SAFARI NDANI NA NJE
View: https://youtu.be/LwHT4f2mas4?si=43WLQImdRai04r6Y
Aya kaka 🙏🙏🙏Akisema Osman Kazi mimi namkubali sana maana yeye ameshawahi kuwa referee lakini sio hawa wengine wachambuzi maandazi.
KIla kona Kundustan tunawachapa tu. Teargas nairobae NairobiWalker Kwenu ni flat screen tu 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/CrownMediaTZ/status/1841063493937606885
Alikuwa mke wa Ricardo MomoHuyu dada ni nani dah maana hiyo tandem si yakawaida 😁
KIla kona Kundustan tunawachapa tu. Teargas nairobae NairobiWalker Kwenu ni flat screen tu 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/CrownMediaTZ/status/1841063493937606885
High rises nyingi zitakuja hapo muda sio mrefu.Oya kuanzia kijazi pale hilo eneo ni ulaya kabisa aiseee.