Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilisema hapa ati Ally Star alienda kwa Master mkanipinga, tayari kashafungiwa viti vya Master, acha tuone vile body kutakuwa😂😂


View: https://x.com/BusesNation/status/1841042766786150792

Website ya Ally's hii hapa. Acha utoto

 
Website ya Ally's hii hapa. Acha utoto

Wewe shoga tafuta shoga wenzako. Ikiwa kwa Master

1727793860237.jpeg
 
na kwann mlimkamata kama kweli muna democracy ya kweli?? juzi alikua kwao kina ruto akionesha stalled projects ambazo watu wameiba pesa 😂😂😂😂

hamuna hata project ya kusingiziwa sasa hvi zaidi ya talanta ya mchina ambayo hamutoi even a single bob na sijui mchina ataimiliki kwa miaka mingapi yarabi
Huyo kijana angekuwa Tanzania saa hii angeshauliwa kitambo sana.

Leo after kuachwana polisi.


View: https://x.com/anj_116_/status/1841087992766603605
 
Website ya Ally's hii hapa. Acha utoto

hivi huoni kama hilo body lishajichokea , huyo mtu aliyepost fuatlia post zake tu , kwahiyo hivyo viti kenya ndo viti vipya ? kama mlifanikiwa kuleta picha mlishindwaje kuleta picha yenye plate number
 
Back
Top Bottom