Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Burundi ni level ya mkoa mmoja in Tz it’s either Moro town or Moshi.Still Tanzania lag behind Burundi in infrastructure index😂😂😂
Burundi ni level ya mkoa mmoja in Tz it’s either Moro town or Moshi.Still Tanzania lag behind Burundi in infrastructure index😂😂😂
Highway za USA hazina BRTKama haina dedicated lanes for BRT hiyo ni moderate road. 😂😂😂 shut your JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala up. Those kinda roads are all over in Africa.
Yet Burundi is ahead of Tanzania in infrastructure development index😂😂Burundi ni level ya mkoa mmoja in Tz it’s either Moro town or Moshi.
Hii ni aina ya barabara ya kawaida mzee unaezapatana na hii popote in Africa😂😂😂 Heb search countries with BRT system in Africa then uone ni mataifa mangapi hapo Africa yapo na hizo barabara, very few. In East and South Africa ni mataifa mawili only SĄ and TZ.As long as there is no road in Tanzania with such number of lanes, underpasses mchawi wowote asiniongeleshe.
View attachment 3109302
Those are big economies economic matrix zake huwezi linganisha na poor countriesUSA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%
So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenya😂😂
Hiyo barabara ya kawaida ndio haziko Tanzania. Mkijenga kama hiyo njoo tuongee.Hii ni aina ya barabara ya kawaida mzee unaezapatana na hii popote in Africa😂😂😂 Heb search countries with BRT system in Africa then uone ni mataifa mangapi hapo Africa yapo na hizo barabara, very few. In East and South Africa ni mataifa mawili only SĄ and TZ.
Vile Kenya pia iko na big economy and matrix zake huwezikuwa pinga is ha na poor country kama Tanzania, sindio?😂😂Those are big economies economic matrix zake huwezi linganisha na poor countries
Itakuwa na sales kabisa i thinkKwani Ngowi ni designer au wamempa na kitengo cha sales kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
US infrastructure ni outdated 😂😂😂 in case you don’t know. Unajua walijenga lini.? We instead of trying to catch up with the western infrastructure we decided build them modern world infrastructures ..Highway za USA hazina BRT
Highways za China hazina BRT
Highways za UK hazina BRT
Highways za Japan hazina BRT.
Only foolish Tanzanians wants Kenyan highway to have BRT😂😂
Kwanini tujenge miundombinu za kawaida za karne ya 20 while tupo karne ya 21.? 😂😂😂 we aren’t playing catch up, tumeamua kwenda mbele ya muda.Hiyo barabara ya kawaida ndio haziko Tanzania. Mlijenga kama hiyo Niko tuongee.
Kama ya US is outdated basi ya Tanzania is dead. Kama Burundi ndio inawashinda infrastracture, USA mtaweza?US infrastructure ni outdated 😂😂😂 in case you don’t know. Unajua walijenga lini.? We instead of trying to catch up with the western infrastructure we decided build them modern world infrastructures ..
Karne ya 21 ndio bado mko na only 12,000km of paved roads wakati wengine wanachezea 25,000km😂😂😂.Kwanini tujenge miundombinu za kawaida za karne ya 20 while tupo karne ya 21.? 😂😂😂 we aren’t playing catch up, tumeamua kwenda mbele ya muda.
Haya twende nani ana credit rating nzuri kati ya Tanzania na kenya?Vile Kenya pia iko na big economy and matrix zake huwezikuwa pinga is ha na poor country kama Tanzania, sindio?😂😂
Unasema barabara za China hazina BRT.? 😂😂. Haya Toa tongo tongo 👇🏾Highway za USA hazina BRT
Highways za China hazina BRT
Highways za UK hazina BRT
Highways za Japan hazina BRT.
Only foolish Tanzanians wants Kenyan highway to have BRT😂😂
Km 25 za barabara za kufikirika.? 😂😂😂 25 roads km on paper. 😂😂😂Karne ya 21 ndio bado mko na only 12,000km of paved roads wakati wengine wanachezea 25,000km😂😂😂.
Jengeni barabara kwanza atleast at mfike 15,000km of pabed roads😂😂
yaan anataka kumfananisha azam na mwalimu kwenye ishu ya madeni. yaan azam anaweza akawa ana mkopo wa zaidi ya uzalishaji wake yake bado akawa na uwezo wa kuendelea kukopesheka huku akiwa analipa tu. sasa kenya hata mishahara tu inawashinda kulipa mpaka wakaombe mkopo ndo akopeshweThose are big economies economic matrix zake huwezi linganisha na poor countries
Tajiri anaweza kuwa na mikopo mikubwa lakini pato lake lina manage sasa wewe maskini deni kubwa kipato kidogo.
Ukitaka kujua hilo angalia credit ratings za USA JAPAN against za Kenya ndio utajua how big economies function.
Burundi labda ishindane na Morogoro. 😂😂😂Kama ya US is outdated basi ya Tanzania is dead. Kama Burundi ndio inawashinda infrastracture, USA mtaweza?
inawezekana hata hawajui kwanza tuwatengenezea excell ya miradi yao na ya tanzania tuwaone walivyo mazumbukukuSASA daah! Wakenya Yani hakiri yezu ni za Bangi nadhani, ww unajenga Barabara Tu. Tena Nairobi na mijini Tu, haujengi bandari mpya, reli umeishia porini ampapo hauwezi kukulipa , Sisi Tunajenga vyote tena reli ya umeme tunaozalisha Kwa winging. Tunajenga viwanja vipya vya ndege na vingi kuvifanya international ili kupunguza transportation cost, Tunajenga bandari za uvuvi. Reli yetu inalink directly Kwa nchi zinazotuzunguka, Tunajenga viwanda, Tunajenga smelter's nyingi, irrigation kibao zinajengwa, tourism reactions kibao. Unafikili mbeleni utatupata hata kidogo?
Unajua maana ya highway wewe? Are these highways? No wonder you look like a baboon😂😂👇👇Unasema barabara za China hazina BRT.? 😂😂. Haya Toa tongo tongo 👇🏾View attachment 3109316View attachment 3109318View attachment 3109319View attachment 3109320