buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Then what is it?Kibaka Highway is not a freeway. There is no freeway in Tanzania.
Then what is it?Kibaka Highway is not a freeway. There is no freeway in Tanzania.
Iweke hapa hiyo "International"Isiolo is far better than that Mabati rolling mill promax.
HatariAisee, ni juzi tuu Makonda alikuwa pale akilalamika wakati jengo halijakamilika, leo kila kitu poa. Nikikumbuka kile kibanda cha zamani, kwenye jiji la utalii, ilikuwa aibu sana.
Ila hayo ma AC unit kwanini wasiyafiche juu ya dari, yanaharibu uzuri wa jengo hapo mbele.
Hayo mabarabara mijini yamepitwa na wakati, ni lobbying tuu ya the big three (GM, Ford, Chrysler) ndo inafanya yaendelee kuwepo.Highway za USA hazina BRT
Only foolish Tanzanians wants Kenyan highway to have BRT😂😂
Kimsingi Arusha airport inafanana kibanda ya mkahawa, tena hile ya mabati. Outside it looks like a godown.Kimsingi interior design ya Arusha airport is better and beautiful than your number 2 best international airport. And guess what Arusha airport ni uwanja wa ndege ndogo za ndani tu. 😂😂
Nafasi ipo ni kubwa lakini angalau lingetumika maninum miaka 15 ndio tufikirie extension, waliodisign tukubali walitumia akili ndogo sana, sababu tunategemea kila mwaka kuwa na ongezeko la angalau watalii 300k kwa idadi hii ya sasa tu watalii million 2 tayari limeonesha ufinyu mkubwa.but nahisi kuna nafas kubwa ya kufanya extension upande wa kulia nafas ipo ya kutosha
Highway ya kawaida.Then what is it?
Naongelea highway na wewe unaongelea town roads, can’t you are discussing something far different from what I’m talking about?Hayo mabarabara mijini yamepitwa na wakati, ni lobbing tuu ya the big three (GM, Ford, Chrysler) ndo inafanya yaendelee kuwepo.
Siku hizi hata mijini barabara zinapunguzwa lanes ili kuweka 'bike lanes' na wamejaza electric scooter watu watumie ili kupungunza magari. Muombe ndugu yako mwaiofhawaii akuelimishe ili utoe ushamba.
Kama ulaya tu, issue ni kwamba hamna kama hiiThis is a mabati kibanda.
Kwa jengo latest kama hili kuweka huu uchafu ni aibu kwa TAA kiukweli, hapa wamejidhalilishaAisee, ni juzi tuu Makonda alikuwa pale akilalamika wakati jengo halijakamilika, leo kila kitu poa. Nikikumbuka kile kibanda cha zamani, kwenye jiji la utalii, ilikuwa aibu sana.
Ila hayo ma AC unit kwanini wasiyafiche juu ya dari, yanaharibu uzuri wa jengo hapo mbele.
Stop comparing apples with lemon😂😂😂😆😆.
What do you expect from a Mabati structure?😂😂🤣Kwa jengo latest kama hili kuweka huu uchafu ni aibu kwa TAA kiukweli, hapa wamejidhalilisha
View attachment 3109441View attachment 3109442
Kaka wakenya ni njaa Tu, kigamboni kunajengwa Matenk ya kuifazi Mafuta Mengi ili SASA badala ya kuorder Mafuta nchi za uarabuni watakuwa wakiorder kutoka Dar, Dar inajengwa gate ya meli kubwa za Mafuta, zikifika Tu zinashusha kwenye matenki hii itapunguza bei ya mafuta Kwa watumiaji waagizaji na pia kupunguza muda ya kuagiza Mafuta.and
are you aware kwamba uganda ana dry port kwala na tanga kwa ajili ya kusafirisha mizigo kwenda uganda.
kuhusu sgr kwenda kampala are you aware kwamba mpaka kenya haijapata finance ya kumalizia kipande mpaka malaba.
je wajua kwamba sgr isaka mwanza iko asilimia 67 kumalizika na washaanza kutundika nyaya za umeme?
je wajua kuwa tanzania ishamaliza kufanya feasibility study kufikisha reli ngeza ili iweze kwenda rwanda and another part ya uganda port wakati kenya bado hata uhakika wa kupata loan bado?
are you aware kuwa pale mwanza kuna meli zinajengwa kwa ajili kusafirisha mzigo kwenda entebe na mara sgr itakapokuwa imekamilika mwaka 2027 oparesheni zitaanza rasmi.
je wajua kuwa sgr kenya kufikisha mzigo contena 40ft ni zaidi ya usd 2700 wakati kutoka dar mpaka mwanza usd 1200 zaidi ya km 1200 na kutoka mwanza tu entebe haitafika usd 1000
je wajua pamoja na yote na hata kenya ifanyeje cost ya kuendeshe treni zenu hata zikiwa za umeme itakuwa twice the amount ya gharama ya umeme unaozalishwa tanzania.
How many Km thika is?Highway ya kawaida.
Freeways has no junctions, zebra crossings, bumps etc.
50km.How many Km is thika?
Mnafanya vitu Kenya ilishafanya kitambo sana😂😂😂Kaka wakenya ni njaa Tu, kigamboni kunajengwa Matenk ya kuifazi Mafuta Mengi ili SASA badala ya kuorder Mafuta nchi za uarabuni watakuwa wakiorder kutoka Dar, Dar inajengwa gate ya meli kubwa za Mafuta, zikifika Tu zinashusha kwenye matenki hii itapunguza bei ya mafuta Kwa watumiaji waagizaji na pia kupunguza muda ya kuagiza Mafuta.
Ndio uturingishie hapa?50km.
Nyinyi Hamna hata freeway ya 1km😂😂😂Ndio uturingishie hapa?
Mlifanya kitu gani nyie only kitu mmejenga ni flow meter, Hamna matanki ya kubeba Lita 800,000 na zaidi hapo kwenu.Mnafanya vitu Kenya ilishafanya kitambo sana😂😂😂
Lakini haivuji kama hii takatakaWhat do you expect from a Mabati structure?😂😂🤣