SASA daah! Wakenya Yani hakiri yezu ni za Bangi nadhani, ww unajenga Barabara Tu. Tena Nairobi na mijini Tu, haujengi bandari mpya, reli umeishia porini ampapo hauwezi kukulipa , Sisi Tunajenga vyote tena reli ya umeme tunaozalisha Kwa winging. Tunajenga viwanja vipya vya ndege na vingi kuvifanya international ili kupunguza transportation cost, Tunajenga bandari za uvuvi. Reli yetu inalink directly Kwa nchi zinazotuzunguka, Tunajenga viwanda, Tunajenga smelter's nyingi, irrigation kibao zinajengwa, tourism reactions kibao. Unafikili mbeleni utatupata hata kidogo?