President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Alifia Nairobi or?Mnasema hearsay Na tulipowaambia amekufa kutoka kwa the same sources mlipinga. Haya, ako Hai?🤣🤣🤣
Mtu mpaka leo bado anapost Thika road unadhani mchezo, hakuna miradi ya maendeleo Kenya, wanaona aibu ku left thread, ukiwaambia kuanzia leo tunapost miradi mipya ya maendeleo yenye thamani ya kuanzia $100ml thread inakufa kwasababu wataleta talanta then hakuna watakacholeta zaidi ya kelele.ukiona wanarusha ngumi za hewani mujue tayar battle imeshawashinda tushawazoea kwa sisi wakongwe na hii sio mara ya kwanza au ya pili
so kwa wale wageni hata musihangaike nao tayar wameshaona tanzania imewaacha kwenye kila kitu sasa wanaona wafanye liwalo waharibu thread hii😂😂😂😂😂
talanta yenyewe mali ya mchina kqma ilivo expressway and GTC 😂😂😂😂Mtu mpaka leo bado anapost Thika road unadhani mchezo, hakuna miradi ya maendeleo Kenya, wanaona aibu ku left thread, ukiwaambia kuanzia leo tunapost miradi mipya ya maendeleo yenye thamani ya kuanzia $100ml thread inakufa kwasababu wataleta talanta then hakuna watakacholeta zaidi ya kelele.
Ile ilikuwa phase pekee. Hizi 3 zinaenda pamoja na standard moja.I mean ile njia ya Kivukoni Kimara, Morroco Kivukoni,.
Hawakuweka flyovers, hadi mzee akaja kuweka Interchange Ubungo.
Sijui kama nimeeleweka
wewe mpumbavu wa umavimavini usiangalie hiyo slide ya mwisho kama una wivu utakufa. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DAbnafUqkS5/?igsh=a2JuOXE3Z2NubWdi.
Hep B hupatilana saba mahospitalini ambapo healthcare providers wana deal na damu hata maabara pia. Hivyo ni lazima kwa wafanyakazi wote wa afya kupata chanjo ya Hep B. Watoto huzaliwa hospitali ambapo uwezekano wa kupata hep B ni mkubwa kuliko mtaani hivyo ni lazima achanjwe mapema tuu.Hivi sababu hasa ya chanjo ya Hep B kwa kichanga ambacho mama yake hana, wakati ugonjwa wenyewe huambukizwa kwa zinaa, ni nini?
Jamaa ako serious. Na nyinyi wote mko wajinga tu kama yeye kwa kusifu wanasiasa. You see politicians like they are gods.That's why I always call you fool, uyu anamuigizia waziri mmoja, anafanya drammer, arafu Kwa akili yako fupi unafikili Yuko serious.
Hoja gani unataka nijibu yet ulisema unanipuuza? Mr. Quack can’t you survive without me in this thread?😂😂😂Hata maana ya kupuuza hujui.
Jibu hoja.
wewe mpumbavu wa umavimavini usiangalie hiyo slide ya mwisho kama una wivu utakufa. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DAbnafUqkS5/?igsh=a2JuOXE3Z2NubWdi.
Mpaka leo there is no road in East, Central and West Africa that can be compared with Thika Road. Tutaendelea kuipost hadi siku kuna nchi itajenga kama hii😂😂👇👇Mtu mpaka leo bado anapost Thika road
Usija ukadhani hizo ni kama zile wazungu wana import kwaajili ya Car show manzee 😂😂😂Baboon hizi ni vitu vya kawaida Kenya. In Tanzania lazima wenye hizi gari moja moja waitane place moja ndio upate hiyo fleet. In Kenya just a random walk utakutana na hizo kama 50 hivi.
Nenda Kileleshwa, lovington na Kilimani uone magari😂😂