RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,890
- 129,941
Mkubwa Phase One hawakuweka hata moja, wasije iga huo ujinga.
View: https://youtu.be/f6ztH295mbc?si=QhqeU2nXXe1TCe03
Mkubwa Phase One hawakuweka hata moja, wasije iga huo ujinga.
USA debt to GDP is 123%Ok twende kwenye reality tuanze kwenye GDP.
What is ratio of your GDP to public debt and how much surplus do you after a deduction of your public debt as compare Tanzania,
Unataka kutuambia una mauzo ya 100bil ila kati ya hizo unatumia asilimia 70 kulipa deni na kubaki na akiba ya 30bil halafu mwenzako anamauzo ya 70bil ila ana deni la asilimia 30 . Huyu akiuza baada ya kulipa deni anabaki na surplus ya 69. Hapo nani anaweza fanya matanuzi au nani atakuwa na maendeleo. Letsay Kuna nyumban inauzwa bil 50, nani atakuwa na uwezo wa kununua hiyo nyumban?
I’m here to educate Mr. Quack.Kama hujui uwe unakaa kimya.
Hakuna kitu inawauma kama kuambiwa ati Magufuli alipelekwa Nairobi Hospital 😂😂.Mnasema hearsay Na tulipowaambia amekufa kutoka kwa the same sources mlipinga. Haya, ako Hai?🤣🤣🤣
Nilitaka kucomment kuhusu kazi ya ziada aliyofanya Photographer post processing, at least zile pisi zitokelezee lakini kagundua sio kosa lake 😂 . Nikaamua nikae kimya. 😂Current Jersey za Gor Mahia ni hizi hapa toa uchafu huo na kama hutaki andamana lkn mtanzania keshakula pesa karudisha nyumbani 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3108344View attachment 3108345View attachment 3108346View attachment 3108347
We nishakupuuza tayari endelea na uzwazwa wako.I’m here to educate Mr. Quack.
Ulianza kunipuuza last year bado huwa unanipuuza tu😂😂🤣.We nishakupuuza tayari endelea na uzwazwa wako.
sijui habari wanayo kweli dunia imegeuka sasa 😂😂😂😂😂
View: https://x.com/sheriangowi/status/1839523615278068067?s=46
Where did you get this info??We had the cure for the complications that were rising as a result of Covid infections. Magufuli was admitted in Nairobi Hospital due to those complications. Covid was like a flu, after sometimes it could disappear so it was just a matter of managing the symptoms before it could disappear cause majority of the fatality was a result of these underlying diseases.
kumbe we zumbukuku eti tanzania iliomba pesa toka kenya.USA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%
So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenya😂😂
Everybody knows that Magufuli was admitted in Nairobi Hospital. Hata nyinyi watanzania mnajua hivo hata kama hamtaki kukubali😂😂Where did you get this info??
Newspaper. 😂
This guy once said that Dar is slum is like a village to Nairobi😂😂
View: https://x.com/UlrichJvV/status/1838972916534317165
unajua tofaut ya japan USA na kenyaUSA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%
So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenya😂😂
Nenda ukapige kelele mbali😂😂👇👇kumbe we zumbukuku eti tanzania iliomba pesa toka kenya.
can you prove that.
But Kenya sio LDC kama Tanzania😂😂😂unajua tofaut ya japan USA na kenya
USA is a developed country
japan is a developed country
kenya is a developing and third world country
wale wenzako madeni yao ni kama wanajikopesha wenyewe tu, wenzio sasa hvi wanawaza kwenda kuishi mars, hawaongelei chakula wala barabara
kenya ni nchi ambayo mpaka leo bado ina njaaa kila mwaka, na yet kila leo USA na japan inawapa misaada ww hushangai tu 😂😂😂😂