poorest in terms of what? huwezi compare umaskini uliopo kenya na Tanzania.
tuachane na data za mitandaoni tuingie mtaani mji kwa mji street to street tuoneshane na maskini zaidi.
mfano mmoja ni tu kiwango cha slums kilichopo kenya na tanzania, upatikanaji wa chakula kenya tanzania na kenya viko sawa?
twende asilimia ya watu wanaotoka tanzania kwenda nje kutafuta maisha kati ya kenya na tanzania iko sawa . watanzania wengi hawataki kwenda nje kwa sababu ni rahis kutengeneza maisha tanzania kuliko huko.
tukija kwenye incetives za kupunguza umaskini kati ya kenya na tanzania, je viko sawa?
hivi unajua kwa tanzania kuna programe ya mikopo kwa vikundi vya vijana, walemavu, na vijana na ni endelevu?
tupe incetives za serikali yenu kupunguza umaskini kwa wananchi wake?