concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Ziko nyingi bro,dandora,lang'ata,kisumu ndogo yan za kumwaga,jamaa wana dhiki sanaacha kuwapunja wanayo nyingine inaitwa KOROGOCHO CITY
Ziko nyingi bro,dandora,lang'ata,kisumu ndogo yan za kumwaga,jamaa wana dhiki sanaacha kuwapunja wanayo nyingine inaitwa KOROGOCHO CITY
Hahaaa acha kwa leo tuwaonee huruma maana wamesepa wote humuZiko nyingi bro,dandora,lang'ata,kisumu ndogo yan za kumwaga,jamaa wana dhiki sana
Everyone knows that you are so ugly that’s why you can never share the picture of your face here 😂😂😂😂 achilia mbali ushamba ulionao, na una sura mbaya pia. Ugly bastard. 😂😂Unajiongelea ama? Cause the last time I checked you were staying in bush😂😂🤣👇
View attachment 3106492
Hao hawatakiwi kuonewa hurumaHahaaa acha kwa leo tuwaonee huruma maana wamesepa wote humu
Sama boy 255 umeharibu mzee, ungewaacha waendelee kujiconsole na vipicha vya 90s wakija kustuka tupo level ya Singapore, hivi hujiulizi kwann hatuupost huo mradi? Unadhani hatupiti hapo au hatujui kinachoendelea? Hapana tumeacha ili waje kustuka pameisha, kama kiwanda cha SINOTRUCK si uliona walivyoumia kwamba hatukuwapa taarifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi maeneo down there Nyumba karibu zote zimekula nyundo na zinaendelea kula nyundo. Mradi wa mto Msimbazi. 👇🏾View attachment 3106354Cheki kazi hiyo 👇🏾View attachment 3106357View attachment 3106358View attachment 3106355View attachment 3106356😂😂😂 sasa sijui utapost nini next year. 😂😂😂
Hizi ni stats zenu mnazojipikia.
Hata Uganda and Rwanda imewashinda in terms of health😂😂🤣😂Hizi ni stats zenu mnazojipikia.
Yet Tanzania is still ranked among the poorest countries in the world😂😂HAYA TUONGELEE GDP BAINA YA KENYA NA TANZANIA
GDP ya kenya ya mwaka ilikuwa 107.44bil usd ikiwa imeshuka kutoka 113.42bil usd ya mwaka 2022.
DENI taifa la kenya liko kwenye 68.2% ya GDP ya kenya.
Hivyo tukisema wenzetu wawe wanalipa deni kila mwaka kwa kulingana na GDP YA mwaka 2023 itakuwa,
107.44*0.682=73.274
SURPLUS= 107.44-73.274=34.166
73.274 bil itatumika kulipa deni huku wakibakiwa na surplus ya 34.166 ambayo ndo itatumika kulipia huduma zote za nchini kenya
TANZANIA
GDP 79.158
PUBLIC DEBT 36.6%
MALIPO YA DENI 79.158*0.366=28.97
SURPLUS 79.158-28.97=50.186
kwa hiyo kutokana na nafasi nzuri ya kuwepo kwa surplus unaotokana na uzalishaji, Tanzania inanafasi kubwa ya kufanya maendeleo kwa kiwango cha usd 16.02bil
POINT YANGU
unaweza kuwa na GDP kubwa sana lakini isiwe na manufaa kwa sababu utahitaji kutumia kiwango zaid ya nusu kufanya malipo huku mwenzako mwenye deni dogo akiwa anafanya vitu vya maana zaidi yako.
poorest in terms of what? huwezi compare umaskini uliopo kenya na Tanzania.Yet Tanzania is still ranked among the poorest countries in the world😂😂
hata kabla ya 2005 kenya ilikuwa ranked nyuma ya tanzania kwa maendeleo, kwahiyo tegemea ripoti za mwaka 2024 lakima uone utofauti usitegemee GDP kuwa below 90bil halafu utajaribu kulinganisha na kenya zikojeYet Tanzania is still ranked among the poorest countries in the world😂😂
Tanzania is really backward. Hadi Burundi imekuwa na Starlink mbele yao😂😂🤣👇
View: https://x.com/elonmusk/status/1838560385303032171