Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nation is reputable. Bring me an article that says he did not go Nairobi Hospital
Am one of those people who posted here at the time… as I said, I got the information from high placed source at the hospital … the only difference is nobody knew it was Mangufuli, just a top VIP based on security details and arrangements and at night. Infact, the staff thought it was our president at first due to presence of heavy plainclothes security . So all we needed was to connect the dots at the time of events and it’s easy to figure out.
 
Ila watanzania wenzangu saa nyingine nawashangaa sana humu ndani, CDF mwenyewe alishaweka wazi last minutes za JPM on his deathbed lakini bado mna guts za kumuientertain taahira mmoja ambae hata uhakika wa next meal hana anawadrag kwenye upumbavu wake na nyie mnajaa, muacheni afurahishe ego yake tu!

"Never argue with fools. They will drag you down to their level and beat you with experience.” ― Mark Twain.
 
Anae takiwa kudhibitisha atudhibitishie kutoka Kenya mbona kuna maraisi wamekufa nje ya nchi zao na ikatangazwa why not JPM acheni kujikweza alishawahi kufanya ziara kenya kipindi chake akiwa madarakani
Magufuli aliletwa Nairobi hospital au hakuletwa?
 
Hivi unajua confidentiality ya mgonjwa ni sehemu gani inaweza kuwa breached!??
Many prominent people have died in Kenyan hospital and it is not a goverments minister's duty to announce their death
 
Ila watanzania wenzangu saa nyingine nawashangaa sana humu ndani, CDF mwenyewe alishaweka wazi last minutes za JPM on his deathbed lakini bado mna guts za kumuientertain taahira mmoja ambae hata uhakika wa next meal hana anawadrag kwenye upumbavu wake na nyie mnajaa, muacheni afurahishe ego yake tu!

"Never argue with fools. They will drag you down to their level and beat you with experience.” ― Mark Twain.
Basi wacha tukusikilize.
 
Huyo mchezaji wa Gor Mahia ana,utapia mlo 🤣🤣🤣
Kwenye mambo yanayohusu soka tushawatawala, hawa wanuka mavi wa humu wamebaki kupiga piga kelele tu, Kenya hakuna ma designer wazuri na ndiyo maana Gor Mahia ilikuwa inavaa mijezi kama timu kutoka daraja la sita, hata logo yao inabidi tuwadizainie sisi. Logo ya Gor Mahia imekaa kijua kali View attachment 3107455
 
Faith Kipyegon has a billboard at Times Square. Will that Hersi guy ever get a billboard?🤣🤣

1000327712.jpg
 
View attachment 3107347

Magufuli was in Nairrobi Hospital before he died in Mzena hospital
Hakuna cardiac institute yeyote Kenya iliyo hata closer na JKCI na ndio mbili kubwa Africa pamoja na South Africa pekee. Hakuna anti-imperialist head of state aliye madarakani akapelekwa nchi za magharibi or surrogate states of western imperialists, HAKUNA. Ni kama kesho uamke usikie Xi Jinping, Putin, Kim Jong Un, Maduro wamelazwa France, Spain.

Inaitahi akili ndogo tu kutambua kuwa kilichoandikwa na magazeti yenu hakina tofauti na kinachoongewa na viongozi wenu juu ya Russia kwenye vita yao na Ukraine. Hizi ndio kazi zenu kama non NATO ally.

Matters touching on the health of a sitting President are not held kimandazi unavyodhania. It is highly classified if you know what that means. No one can come out publicly and give out such information, whether it is a minister or not without following due diligence. Ndio maana mliambiwa kwamba alikuwa busy anachapa kazi while in real sense he was in his deathbed breathing his last.

If you expected Kenyan government officials to come out publicly and admit that Magufuli was indeed admitted in Nairobi Hospital then you don't know the intelligence surrounding the affairs of the president, his health and family matters.

Nation being a media house, got wind of it and published an article about it but the matter was highly classified
Am one of those people who posted here at the time… as I said, I got the information from high placed source at the hospital … the only difference is nobody knew it was Mangufuli, just a top VIP based on security details and arrangements and at night. Infact, the staff thought it was our president at first due to presence of heavy plainclothes security . So all we needed was to connect the dots at the time of events and it’s easy to figure out.
Hamna akili!
 
Hakuna cardiac institute yeyote Kenya iliyo hata closer na JKCI na ndio mbili kubwa Africa pamoja na South Africa pekee. Hakuna anti-imperialist head of state aliye madarakani akapelekwa nchi za magharibi or surrogate states of western imperialists, HAKUNA. Ni kama kesho uamke usikie Xi Jinping, Putin, Kim Jong Un, Maduro wamelazwa France, Spain.

Inaitahi akili ndogo tu kutambua kuwa kilichoandikwa na magazeti yenu hakina tofauti na kinachoongewa na viongozi wenu juu ya Russia kwenye vita yao na Ukraine. Hizi ndio kazi zenu kama non NATO ally.
Haha wanayp ndogo agha Khan lakin Haina level ya jkic
 
Back
Top Bottom