Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20240927-082457_LinkedIn.jpg
Screenshot_20240927-082516_LinkedIn.jpg
 
Tanzania petrodollar zinakuja, hii Nchi ni mali tupu, Kunyaland tukishaingia kwenye minerals economy ndio tutajenga wall ndefu kama Mexico na USA ili msizamie huku, kama kwa uchumi huu tu wa kilimo tunawapelekea moto hivi, tukianza full minerals, oil and gas economy mmeisha


View: https://youtu.be/bhDERNkDqQk?si=raQIuS6A5vOnNsfz

Ndoto ya Magufuli hii, alipambana yapatikane kwenye awamu yake ili amalize kila kitu sema ndio hivyo tena wakamuwahi.
 
Nation is reputable. Bring me an article that says he did not go Nairobi Hospital
Kwa hiyo unataka tuwaamini na hearsay zenu? Raisi wenu hakusema amefia Kenya wakati wa msiba, waziri wa afya kimya, mganga mkuu wa Serikali kimya, Hospital yenyewe kimya. Ila nyie otorong'ong'o ndio tuwaamini mbele ya Mkuu wa majeshi aliyeipitisha nchi kipindi kigumu salama?



Na kumbuka Magufuli alikua hana uhusiano mzuri na nyie (Kuchoma vifaranga, kuzuia raw materials kuingia badala yake muuziwe unga, kuwapoach EACOP, kuwatibulia COW).



Utakua kichaa bila shaka kuamini huo upuuzi.



Mnafahamu siku chache kabla alikua Ubungo, na kuapisha viongozi?
 
Matters touching on the health of a sitting President are not held kimandazi unavyodhania. It is highly classified if you know what that means. No one can come out publicly and give out such information, whether it is a minister or not without following due diligence. Ndio maana mliambiwa kwamba alikuwa busy anachapa kazi while in real sense he was in his deathbed breathing his last.

If you expected Kenyan government officials to come out publicly and admit that Magufuli was indeed admitted in Nairobi Hospital then you don't know the intelligence surrounding the affairs of the president, his health and family matters.

Nation being a media house, got wind of it and published an article about it but the matter was highly classified
Kama ni highly classified nyie mmetoa wapi taarifa?
 
Kama ni highly classified nyie mmetoa wapi taarifa?
Soma the third paragraph. Again Kenyan journalists are not lazy like the Tanzanian counterparts, they will go at all lengths to get the highly secretive informations.

1727417415081.jpeg
 
Magufuli was already brain 🧠 dead when he was discharged from Nairobi hospital under life support. 'a brain dead person cannot be restituted'
He was to be flown to India but it was too late 😔 and so they decided to fly to Dar and unplug life support machines at Mzena Hospital where his death was officially announced
I have question? Kuna taarifa unaweka sijui brain dean weka hapa hospital report tujidhibitishe.

Nyie wazee bana chochote kizuri cha bongo ni kujishikisha nacho utasikia sisi ndio tumempa Diamond umaarufu huku wasanii wa Kenya wanalia kutelekezwa, utasikia kiswahili kilianzia Kenya ila broken mnayopiga ni hatari, Utasikia Kilimanjaro ina best view Kenya mtalii akiomba kupanda mnajikanyaga, Utasikia Masai Mara ni best ya Serengeti na iko kama Door mat, Utasikia tumedesign Tallest tower, Bunge, ila ukiombwa mchoro mzima unaleta ya mzee aliyechakaa mwanasanaa.

Kwani hamna vyenu vya kushikiria?
 
Swali, moja mlikua na Tiba ya COVID-19?
We had the cure for the complications that were rising as a result of Covid infections. Magufuli was admitted in Nairobi Hospital due to those complications. Covid was like a flu, after sometimes it could disappear so it was just a matter of managing the symptoms before it could disappear cause majority of the fatality was a result of these underlying diseases.
 
Habari ya Mke wa Ndaishimie wa Burundi kulazwa mbona iliandikwa na picha zikapatikana! Mbona ya Magu isipatikane!?

Kwa ego za Wakunya na moto aliokuwa anawapelekea lazima tu wangeweka ushahidi kama ni kweli.
Was she President? Soma the third Paragraph why Magufuli pictures were not put on public while he was in hospital. Diplomacy had to be maintained.

1727418829349.jpeg
 
Thanks Asante Rabi for Trusting in Kenya built buses. Thanks for buying Marcopolo G7 from AVA😂😂
 
Was she President? Soma the third Paragraph why Magufuli pictures were not put on public while he was in hospital. Diplomacy had to be maintained.

View attachment 3107974

I had a heavy breakfast this morning. Can't waste may energy engaging with old cows from nyeri...

If there was an agreement of not disclosing even the name of admitted patient what does that implies to you and you're fellow kundu dwellers!?
 
Back
Top Bottom