President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,053
- 93,442
Vyuma chakavu (Scrap metal)Another one from Master.
Buy Kenya build Kenya. Master Emirata 3.
View attachment 3105713
View attachment 3105715
View attachment 3105716
View attachment 3105718
View attachment 3105720
View attachment 3105721
View attachment 3105722
Thanks for Wikipedia.
Unaleta ya 2022 mimi nimekuwekea 2024. Wakenya ni mbumbumbu
Huwa anashare humu picha za madem kumbe yeye anatiliwa mkvndvni.🤣🤣🤣Kwa wadem wote dunia hii Venus Star aliamua kuendea wanaume🤣🤣😂
Magufulification of Tanzania 🇹🇿🇹🇿😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥miaka inaenda haraka sana 🇹🇿🇹🇿
View attachment 3104943
ya kugaragara kwenye matope ndio tumefika huku sasa hvi😂😂😂Umesahau wapiga push up? 😁😁😁😁
so huyo aliegaragara ni rais au chawa ?😂Tunaanzia tulipoishia 😂😂😂👇👇View attachment 3105679View attachment 3105680
hebu nioneshe kariakoo hapo nicheke😂😂Dar es salaam yote in one picture 😂😂
Rais apigia magoti inaonesha mtumishi amepigia magoti maboss zake.Tunaanzia tulipoishia 😂😂😂👇👇View attachment 3105679View attachment 3105680
so far zinabeba punda au??😂😂😂
Ukisikia rare view ndio hii😎 halafu very Recent, BRT phase 3 Mnazi mmoja Bus stop coming up nicely.
Serikali ni watu kwaajili ya watu, Magufuli kupiga magoti ameonesha tafsiri sahihi ya serikali ni ya watu kwaajili ya watu.so huyo aliegaragara ni rais au chawa ?😂
Kwani hapo amegalagala Kwa mabosi wa nani?Rais apigia magoti inaonesha mtumishi amepigia magoti maboss zake.
Rais ni mfanyakazi wa wananchi.
Je inafanana na yule mama mpuuzi kugalagala na kujichafua eti kumshukuru rais kufanya majukumu yake!??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajua hata kina teargas wanaishi humo lakini wanaenda hotel kupiga picha lakini viatu vinawaonyesha uhalisia wao.
Amegalagala kwa mtumishi mwenzake wa ngazi ya juu(rais).Kwani hapo amegalagala Kwa mabosi wa nani