The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Picha la kutisha kubababake, mna uhakika hapa sio mbele kweli?
Picha la kutisha kubababake, mna uhakika hapa sio mbele kweli?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Treat your finger problems first, your brain will be fine.
Eti kariakoo wapi? 🤣 🤣 🤣 ghorofa tufupi kama nyundo. 🤣🤣🤣hebu nioneshe kariakoo hapo nicheke😂😂
hio picha imepigwa kutoka upanga na tena hapo sio upanga yote hio east upanga kenge wewe
Mambo ya kitoto sn haya wanaleta.Push up alipiga mwendazake.
Huyu anagalagala kujichafua eti kumshukuru Rais kufanya wajibu wake!??
Huu UPUUZI kiwango cha skyscraper.
Kama unaitaka kkoo sema uletewe usiongelee chini as if huijui kkoo.
Kumejaa ghorofa fupi kama nyundo. 🤣 🤣 🤣 Ona hata hizo vijighorofa hazionekani.Kama unaitaka kkoo sema uletewe usiongelee chini as if huijui kkoo.
Kkoo iko wapi hapoKumejaa ghorofa fupi kama nyundo. 🤣 🤣 🤣 Ona hata hizo vijighorofa hazionekani.
View attachment 3105814
Kumbe hata wewe unaona haionekani ju kumejaa vijighorofa fupi kama nyundo. 🤣 🤣 🤣Kkoo iko wapi hapo
wanasubiri nganya zenye kunguni 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1838640420961595484?s=46
Acha utoto.Kumbe hata wewe unaona haionekani ju kumejaa vijighorofa fupi kama nyundo. 🤣 🤣 🤣
Hilo neno siku hizi toa mkuu, ni kamji cha hovyo since day one.Nilisema hapa nikatukanwa...but Nairobi ni kimji cha ovyo siku hiz
Hiyo picha imetoa Dar is Slum yote😂😂🤣😂Kumbe hata wewe unaona haionekani ju kumejaa vijighorofa fupi kama nyundo. 🤣 🤣 🤣
On hiked fare 🤣🤣🤣🤣SGR fare is now more expensive than air ticket 😁