President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Tuambizane ukweli. Hizi ni silaha gani. Hii display iliyofanywa na Police Tanzania ina maana gani? Hapa ni polisi mkoa wa Tanga
ila kenya ni sawa na jahannam kaaah🙌🏻
View: https://x.com/c_nyakundih/status/1838158423386357790?s=46
Gaddafi anstahili kuwemo tena sana.Toa Gadafi hapo
Muda mwingine nyamaza kama huna cha kuongea.Toa upuuzi hapa,yaani Kijitu ambacho kilikuwa kinamfadhili Idd Amini kuja kuteka 🇹🇿 kwako ndio unaona Cha maana?
Walichelewa sana kukichinja.Hadi kesho kutwa rafiki Mkuu wa 🇹🇿 ni Algeria sio huyo punguani wa Libya.
Punguani,kutoa pesa AU kinahusianaje na yeye kusaidia kibaraka Idd Amini kupindua Nyerere?Muda mwingine nyamaza kama huna cha kuongea.
Muammar Gaddafi ndiye ambaye alikua anatoa pesa nyingi katika mfuko wa AU hapa Afrika.
Sawa hatukatai alimfadhili Iddi Amini ila 2005 alikiri na kuomba msamaha na kubadilisha mitazamo ya kidiplomasia.
Hio AFDB bank ina hela nyingi za Libya kuliko hiyo Algeria unayoishupalia.
Satellite ya kwanza Afrika pesa alitoa Gaddafi.
Gaddafi kuungana na AU kulimfanya waarabu wenzake wamtenge na kumtoa Arab league ila yeye hakujali.
UCHAWA UMEKUTOA AKILI.
Gaddafi kufikia 2005 alikiri makosa na kubadilisha diplomasia baada ya jumuiya za kimataifa kumpigia sana kelele.Nadhani tusiangalie kazi gani kafanya tuu Gadaffi kaua sana pamoja na kusupport terrorists na madikteta wengine kama Idi Amin.
Sifa iwe ni kiongozi msafi mpenda amani mwanaharakati mwenye kuheshimu haki za binadamu na demokrasia na pia awe muadilifu asiyefuja hela za serikali.
Pia awe kiongozi mwenye dira na malengo ya kuinua nchi yake.
Toa ufala wako, walichelewa sana kimchinja huyo Mwarabu wakohuna akili ww na historia ya africa huijui kenge wewe unafkiri wazungu walimuua kwann kwasababu ya kuwaamsha waafrica wajinga kama wewe akili zilizolala, gadafi kaipambania sana africa kama ulikua hujui alitaka africa iwe na umoja kama europe, iwe na bank yake, iwe sarafu yake, wazungu wakaona huyu anawapa akili makoloni yetu wakamuua haraka sana
Bro wewe ni FALA ama ni MPUUZI usiyeelewa!??Punguani,kutoa pesa AU kinahusianaje na yeye kusaidia kibaraka Idd Amini kupindua Nyerere?
Haloooo akili wewe huna😂😂😂😂.Toa ufala wako, walichelewa sana kimchinja huyo Mwarabu wako View attachment 3105247
Naona Photoshops umeenza kuielewa sasa. Hongera kwa kuedit picha ya Tanzania
ila kenya ni sawa na jahannam kaaah🙌🏻
View: https://x.com/c_nyakundih/status/1838158423386357790?s=46
Hii ni QBZ-95 rifle Ya Wakulungwa wa Beijing😎
We import their milk to process and resale. That's what we always do. Otherwise we produce more milk than them. We are the biggest milk producer in Africa.
ExactlyHii ni QBZ-95 rifle Ya Wakulungwa wa Beijing😎
Msiwaamshe. Wakija kuamka saa za chakula cha mchana
View: https://youtu.be/SjCl40bNTLE?si=mSTDdkaHPCDa-fSh