Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Arusha ndio gari ya kuenda wapi? Kama Tanzania kama nchi ndio haiwezi kushindana na Nairobi, sembuse Arusha?kwa density hii hata arusha inawachapa viboko 😂😂😂😂
Arusha ndio gari ya kuenda wapi? Kama Tanzania kama nchi ndio haiwezi kushindana na Nairobi, sembuse Arusha?kwa density hii hata arusha inawachapa viboko 😂😂😂😂
Yeah kaja namuona mzima.REAL Comrade Kipepe Geza huyu hapa bado anapumua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hayo mataifa ni very corrupt na hufanya vitu substandard. BRT ya Nigeria inampaka matambara kwenye vituo.Alafu mbona hii BRT Nigeria imekaa jua kali namna hii? Mauchafu barabarani kama kenya, yn Africa bhn hata waweke nn lazima uafrika uonekane, sisi watanzania tumshukuru sn Mungu aisee, tukiweka world class infrastructure lazima ionekane hivyo hata miaka 10 ipite, ona hapa ni ulaya kabisa 👇 👇 View attachment 3104709View attachment 3104711View attachment 3104713View attachment 3104715
Wenzetu sasa picha ya upande upande 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3104718
Uhalisia 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3104724
gadafi kafanya kazi kubwa sana africa mzee aliku tishio kubwa sana kwa wazungu hasa alipotaka africa iungane iwe na bank yake na sarafu yake kama europe, hata satelite ya africa yeye ndio mdau number mojaToa Gadafi hapo
Toa upuuzi hapa,yaani Kijitu ambacho kilikuwa kinamfadhili Idd Amini kuja kuteka 🇹🇿 kwako ndio unaona Cha maana?gadafi kafanya kazi kubwa sana africa mzee aliku tishio kubwa sana kwa wazungu hasa alipotaka africa iungane iwe na bank yake na sarafu yake kama europe, hata satelite ya africa yeye ndio mdau number moja
Mnajivunia kuwa wachuuzi 😀 😀 😀We import their milk to process and resale. That's what we always do. Otherwise we produce more milk than them. We are the biggest milk producer in Africa.
Uliza WB na IMF unaniuliza mimi?Which vitals? HDI pia tumewashinda mbali sana😂😂