Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We mpuuzi huongei na machizi hapa.
Building equals to manufacturing.
Manufacturing is creating of something from raw material to a useful or finished product.
Assembling is organizing of various finished products to create new finished products.

Narudia tena huongei na machizi humu.
Yeye hajui ana assemble built CKD parts za chassis.
 
miaka inaenda haraka sana 🇹🇿🇹🇿
View attachment 3104943
Hakuna kitu nilikuwa nachukia Airport kama nishuke na mwewe alafu sioni flag bearer yetu badala yake naona upupu wa kaskazini umejaa pale, nilikuwa napata hasira sana na chuki kwa viongozi wangu iliongezeka mara dufu. Sasa hizo ni hadithi za kale, unashuka kwenye world class Airports unakutana na world classy planes zimechill zinasubiri ratiba, ukitoka tu unakutana na BRT moja matata, alafu pembeni kuna viaduct kali ikipeleka gogo la umeme huko katikati ya nchi, hapa ndio unasema it feels good to be home huku ukiwa unamaanisha, na kama uko na mgeni unamwambia karibu bongo huku ukiwa na confidence zimejaa kiroba😅😅
 
gadafi kafanya kazi kubwa sana africa mzee aliku tishio kubwa sana kwa wazungu hasa alipotaka africa iungane iwe na bank yake na sarafu yake kama europe, hata satelite ya africa yeye ndio mdau number moja
Nadhani tusiangalie kazi gani kafanya tuu Gadaffi kaua sana pamoja na kusupport terrorists na madikteta wengine kama Idi Amin.
Sifa iwe ni kiongozi msafi mpenda amani mwanaharakati mwenye kuheshimu haki za binadamu na demokrasia na pia awe muadilifu asiyefuja hela za serikali.
Pia awe kiongozi mwenye dira na malengo ya kuinua nchi yake.
 
Leo nitaka niongelee silaha nilizoziona kwenye Matukio mbalimbali ha Tanzania. We are good

Je, hii ni bunduki gani? Kwanko NDINDA

1727167032248.png
 
Toa upuuzi hapa,yaani Kijitu ambacho kilikuwa kinamfadhili Idd Amini kuja kuteka 🇹🇿 kwako ndio unaona Cha maana?

Walichelewa sana kukichinja.Hadi kesho kutwa rafiki Mkuu wa 🇹🇿 ni Algeria sio huyo punguani wa Libya.
huna akili ww na historia ya africa huijui kenge wewe unafkiri wazungu walimuua kwann kwasababu ya kuwaamsha waafrica wajinga kama wewe akili zilizolala, gadafi kaipambania sana africa kama ulikua hujui alitaka africa iwe na umoja kama europe, iwe na bank yake, iwe sarafu yake, wazungu wakaona huyu anawapa akili makoloni yetu wakamuua haraka sana
 
Back
Top Bottom