chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,689
- 45,954
Nauli waliyoongezewa ndo kama Ile tunalipa kwa sgr ila Sasa ila kwao wateja wanapungua huku kwetu Hali ni tofautiOn hiked fare 🤣🤣🤣🤣SGR fare is now more expensive than air ticket 😁
Ndege gani hucharge 1500 from Nairobi to Mombasa? Why are you this stupid?On hiked fare 🤣🤣🤣🤣SGR fare is now more expensive than air ticket 😁
Bomba la mafuta la Africa mashariki nalo piaSgr,brt na nyerere dam ni vitu ambavyo vinawaumiza roho kunyan kupita maelezo
Hii ni ya serikali na ina tiles standard na AC juu 😂😂😂 wasingelitumia kabisa wangefanya makumbusho 😂😂😂Tiles za bafuni. 😂😂😂
🇹🇿 imekuwa Mwalimu wa Afrika
View: https://www.instagram.com/p/DASywusoyvU/?igsh=MWN1Z2o2MjF6MjlibQ==
My Take
Kwa Sasa hamtachora tena yake maandishi yenu kwenye vibarabara vilivyochakaa ya BRT lane 😂😂
ya kwanza ilikua kenya haya jipongeze😂😂Nani alikudanganya bongoslum ndio ilikua nchi ya kwanza kua na BRT in Africa.
Ni wapi nimesema hivyo? Punguza kuropokwa.ya kwanza ilikua kenya haya jipongeze😂😂
😂😂😂😂😂 sasa hasira za nn budaaNi wapi nimesema hivyo? Punguza kuropokwa.