Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania hawajui chassis ni nini😂😂🤣😂
 
alaf ajabu wao ni ku assemble sio kwamba wanatengeza kila kitu wanafanya import ya vifaa vyote na tena kwa order sio kwamba bus unakuta show room hakuna 😂😂😂😂😂

ww muulize AVA ana assemble bua ngap marcopolo kwa mwaka utacheka
Ebu uliza hawa watu kulikuwaje😂😂🤣👇👇👇

1727030059880.jpeg
 
BYD ni chassis, just like Scania and Isuzu. Apart from Chassis Kenyans make everything else to make a complete bus😂😂🤣
mpumbavu wewe BYD ni chasis 😂😂

yani wakat mwengine unakuaga kama chizi hvi BYD ni kampuni ya kuunda magari ya umeme na ni kampuni kubwa duniani hvi sasa
 
Ebu uliza hawa watu kulikuwaje😂😂🤣👇👇👇

View attachment 3103629
nianeshe kitu kimoja kinatengezwa hapo kenya apart of importing and aseembling ukipata hata bolt and nuts zinatengezwa kenya nitag nifunge acc sasa hvi 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Teargas basi go ni kampuni kama AVA kazi yao wana import vifaa kutoka kiwandani kabisa wao kazi yao ni kua assemble tu nothing else na haimaanishi kama BYD ni kampuni ya kenya au marcopolo ni kampuni ya kenya no way

kuunganisha gari haimaanishi scania au BYD ni yenu unleaa hujui maana ya assembling 😂😂😂😂😂 ondoa akili chafu mjinga ww kenya hakuna hata kiwanda cha kutengeza bolt and nut inayotumika AVA

iphone ni simu za USA but zinakua assembled china kwasababu ya kupunguza gharama za simu haimaanishi iphone ni kampuni ya china
 
basi go ni kampuni kama AVA

kuunganisha gari haimaanishi scania au BYD ni yenu unleaa hujui maana ya assembling 😂😂😂😂😂

iphone ni simu za USA but zinakua aseembled china kwasababu ya kupunguza gharama za simu
na ndo maana maana
Teargas basi go ni kampuni kama AVA kazi yao wana import vifaa kutoka kiwandani kabisa wao kazi yao ni kua assemble tu nothing else na haimaanishi kama BYD ni kampuni ya kenya au marcopolo ni kampuni ya kenya no way

kuunganisha gari haimaanishi scania au BYD ni yenu unleaa hujui maana ya assembling 😂😂😂😂😂 ondoa akili chafu mjinga ww kenya hakuna hata kiwanda cha kutengeza bolt and nut inayotumika AVA

iphone ni simu za USA but zinakua aseembled china kwasababu ya kupunguza gharama za simu haimaanishi iphone ni kampuni ya china
ni kama FAW zinazoenekana bongo zote zile kwa chassis ni made in Tanzania lakini ukweli sio product yetu ile pamoja ya kuwa tuyaauza kwa maelfu. mpaka mlango unatoka china. pale labda kinachochongwa ni tela tu
 
mpumbavu wewe BYD ni chasis 😂😂

yani wakat mwengine unakuaga kama chizi hvi BYD ni kampuni ya kuunda magari ya umeme na ni kampuni kubwa duniani hvi sasa
Ndio hao naona BYD wakitengeneza body ya Basigo😂😂🤣😂.

Nyinyi endeleeni kulala usingizi wa pono

IMG_0585.jpeg

IMG_0587.jpeg

1727030789238.png
 
Teargas basi go ni kampuni kama AVA kazi yao wana import vifaa kutoka kiwandani kabisa wao kazi yao ni kua assemble tu nothing else na haimaanishi kama BYD ni kampuni ya kenya au marcopolo ni kampuni ya kenya no way

kuunganisha gari haimaanishi scania au BYD ni yenu unleaa hujui maana ya assembling 😂😂😂😂😂 ondoa akili chafu mjinga ww kenya hakuna hata kiwanda cha kutengeza bolt and nut inayotumika AVA

iphone ni simu za USA but zinakua aseembled china kwasababu ya kupunguza gharama za simu haimaanishi iphone ni kampuni ya china
Wewe hujui anything kuhusu magari. Kama chassis ndio hujui ni nini, sasa assembling ndio utajua?😂😂🤣😂
 
Wewe hujui anything kuhusu magari. Kama chassis ndio hujui ni nini, sasa assembling ndio utajua?😂😂🤣😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na swali langu limekushinda kujibu tatizo lako ww unajifanya mjuaji sana alaf huna unalolijua wewe
 
nimekwambia nioneshe kitu kimoja tu kinazalishwa kenya hata bolt or nut nioneshe tu mm nifunge acc 😂😂😂
Acha nikuonyeshe tano😂😂🤣😂.

1. Dveki steel supplies them with steel and alminium
2. Megh Cushion Industries supplies them with seats.
3. Impala Glass supplies them with windscreen, doors, mirrors and window panes.
4. Most Plastic components are made by plastic manufacturing companies in Kenya.
5. The paints are manufactured in Kenya.

Any other questions?😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom