Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama unavyoona hapo, kitu pekee ambacho hakijafanyika ni Magorofa kwenye hiyo empty space kulia mwa Kituo, Vingine vyote tayari akiwemo Joka huko kushoto ingawa wameweka mweupe wakati ni The Flying Orange 😂. Kwa hiyo bado ni Jambo moja tu hapo kunyanyua hizo highrises ambap sasa hivi ni temporary parking space.
Kila kitu naona kipo sawa isipokuwa joka tu, hapo linaonekana linapita chini ila uhalisia linapita juu.
 
Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.

Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Miaka miwili nyuma wakenya wakiongozwa na Bushman chuchunge walikuwa wanapiga picha hilo eneo lenye BRT EMU like station wakisema nyuma ya CBD kuna tope, tukawa tunawaambia hapo inapita BRT na siku hazigandi, leo wanajionea wenyewe wakenya wenzao wanavyogombania kupiga picha eneo hilo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilijua tu haya masenge sio majitu ya mpira, na hapo ni half time, leo yanakula tano leo piga ua👇👇👇🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240921-200641~2.png
 
Back
Top Bottom