NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Hapa ni Jangwani , Dry season 😂
Hapa ni Jangwani , Dry season 😂
Mkuu tupeane Code, au tuombe ruhusa kwa mwenyekiti ichoboy01 Kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂 nakwambia hiv bebes zinamiminika kama upepo 👇🏾View attachment 3102009
Sisi watanzania ni waungwana sana. Tunaendelea kujadiliana na vijana kutoka Nairobi ambao tumewazidi kwa kila kitu. Tunaendelea kuwakaribisha 🤣 🤣 🤣 🤣Kama unavyoona hapo, kitu pekee ambacho hakijafanyika ni Magorofa kwenye hiyo empty space kulia mwa Kituo, Vingine vyote tayari akiwemo Joka huko kushoto ingawa wameweka mweupe wakati ni The Flying Orange 😂. Kwa hiyo bado ni Jambo moja tu hapo kunyanyua hizo highrises ambap sasa hivi ni temporary parking space.
Sio G7 tena?Tegemeeni Higer Bus kwenye BRT pia 😂 kuna kitu nimeona.
😂😂 mkuu utatekwa. Watu wanamiliki bunduki.Mkuu tupeane Code, au tuombe ruhusa kwa mwenyekiti ichoboy01 Kwanza 😂😂😂😂
Awamu zipo nyingi Boss 😂Sio G7 tena?
Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.Awamu zipo nyingi Boss 😂
Wakundustan ilikua 2010-2020 ila wametembelea kichwa ,(Sasa hivi wanatembelea Choki 😂😂😂 au Neutral. Kwa ujumla Sasa hivi ni Yesterday's News Wakafie Mbele😂Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.
Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Ila Dar waTz mmetisha. Mnajenga major roads zote kwa wakati mmoja.Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.
Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Yaani hadi sasa hivi wananchi wanasema jengeni kwa Awamu 😂😂😂😂. Na Tanroads wanaambia vumilie kwa ajili ya maisha mstarehe mbele😂Ila Dar waTz mmetisha. Mnajenga major roads zote kwa wakati mmoja.
Imagine Bodaboda au dereva anasave mafuta kwa kuweka free kwenye mteremko au kutumia choki kwenye boda ndio maisha ya wakundustan sasa hivi, kiujumla hakuna matumaini 😂Wakundustan ilikua 2010-2020 ila wametembelea kichwa ,(Sasa hivi wanatembelea Choki 😂😂😂 au Neutral. Kwa ujumla Sasa hivi ni Yesterday's News Wakafie Mbele😂
Boss hii itabidi ufute wakundustan wanaweza fanyia kazi za mikono aka kunyonga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakwambia hiv bebes zinamiminika kama upepo 👇🏾View attachment 3102009
View: https://vm.tiktok.com/ZGeodNBUP/ mtu kamla mwanae huko usa ya afrika sababu ya njaa
Nyie wanawake mnashida sana. Najua kitu kinachokuchanganya