President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
As Normal
As Normal
Who is posting more than Kundudweller TeargasKuna wengi humu wenye Wana post per day higher than Teargas na hamuwasemi. Ukumbuke sisi Wakenya tunakuwa quoted zaidi kwenye hii thread kisa we are fewer so the need to respond is higher.
You are writing too many wordsGeza ilikuwa malumbano, ananiquote, namquote ila mimi kuna wengi walikuwa wananiquote na sina shughuli nao kama ilivyo tu sahii. Kuna jamaa aliitwa Kimweri. Tulipelekana naye sana hani tukianzana kila mtu ananyamaza inakuwa mimi na yeye alafu mashabiki wake Bongolala pembeni wakimshangilia bila hata kuelewa anachosema maanake tulibishana vitu technical sana.Mimi kawaida yangu nikiona mtu hana knowledge ya kutosha ila ubishi tu huwa naachana naye namuignore. Mnamchukia Teargas kisa habagui. Ukija na ujinga anakupa vya uso tu.
Nyinyi, juu maneno hayo yanatumiwa na watoto wadogo wasiojua kiswahili.Nyinyi mmeingia humu juu ya hii thread. Kabla hii thread kulikuwa na zingine nyingi. Kwanza kulikuwa na ile ya Neighborhoods in Nairobi vs Dar ilinoga sana. Mtu kama Geza tumetoka naye Skyscrapercity. Baada ya kula bana skyscrapercity miaka ya 2011 alijaribu sana kuconvince waje hapa Jamii Forums.
Prove itNobody is using Taifa gas in Kenya. Wale wenye walifungua depot ya Taifa gas has all closed shops.
Alafu kitu huwa inanifurahisha is that they all believed Ruto😂😂
Nairobi has more dollar millionaires than entire Tanzania. So instead of trying to compare your poor country with Kenya it’s better you start by aiming to reach Nairobi’s level first.Dollar Millionaire kaongezeka kwenye List, Kule Kundustan wamepunguza wao kwa kumchomea mali na masufuria yao ya Ugali kichwani😂
Look for your fellow gay men to prove for you.Prove it
I like the word Naikundu unaniruhusu kulitumia?View attachment 3102048
Wanamplease youtuber wao asionyeshe naikundu cbd baada ya kuwaonyeshea dar cbd
Kwahiyo umeshindwa kuleta proofs? 😀 😀 😀Look for your fellow gay men to prove for you.
Did you know why Chinese goods including buses are world class high quality and cost efficient or cheap?It's cheap you idiot.
Higer ni nzuriTegemeeni Higer Bus kwenye BRT pia 😂 kuna kitu nimeona.
No Arusha ni just Airport hatuna huo ukuda, KIA ndio international na mkombozi wenu ikiwa JKIA ikipata blackout, ikivuja emergency zote KIA.Mabati ikuwe international? Not in Kenya😂😂😂
Kwanza Kenya ukitoa JKIA unaweza leta hata ya kucompare na hiyo Arusha?. Kwanza umeumia sana kijana.Mabati ikuwe international? Not in Kenya😂😂😂
Sawa.Geza ilikuwa malumbano, ananiquote, namquote ila mimi kuna wengi walikuwa wananiquote na sina shughuli nao kama ilivyo tu sahii. Kuna jamaa aliitwa Kimweri. Tulipelekana naye sana hani tukianzana kila mtu ananyamaza inakuwa mimi na yeye alafu mashabiki wake Bongolala pembeni wakimshangilia bila hata kuelewa anachosema maanake tulibishana vitu technical sana.Mimi kawaida yangu nikiona mtu hana knowledge ya kutosha ila ubishi tu huwa naachana naye namuignore. Mnamchukia Teargas kisa habagui. Ukija na ujinga anakupa vya uso tu.
You of course. Upo well educated.Who is more educated than you😂
Sawa seniorNyinyi mmeingia humu juu ya hii thread. Kabla hii thread kulikuwa na zingine nyingi. Kwanza kulikuwa na ile ya Neighborhoods in Nairobi vs Dar ilinoga sana. Mtu kama Geza tumetoka naye Skyscrapercity. Baada ya kula bana skyscrapercity miaka ya 2011 alijaribu sana kuconvince waje hapa Jamii Forums.
Eti nobody, Chuchunge bana.Nobody is using Taifa gas in Kenya. Wale wenye walifungua depot ya Taifa gas has all closed shops.
Alafu kitu huwa inanifurahisha is that they all believed Ruto😂😂
Kama unavyoona hapo, kitu pekee ambacho hakijafanyika ni Magorofa kwenye hiyo empty space kulia mwa Kituo, Vingine vyote tayari akiwemo Joka huko kushoto ingawa wameweka mweupe wakati ni The Flying Orange 😂. Kwa hiyo bado ni Jambo moja tu hapo kunyanyua hizo highrises ambap sasa hivi ni temporary parking space.Hii nimeipata kwenye website ya DART mwenye maelezo zaidi kuhusu project hii please
View attachment 3102096