muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
Tuwaongezee maumivu kidogo.
Hawa ni wajinga kweli kweliππHawa hawajazoea cashless economy. Wachana nao.
How many of you even understand how money market works? Let alone having account in one. Kwanza Iβm sure majority of Tanzanians hata hawajawaiskia something like money market na wale wenye JF wenye wameskia that name they knew it from meππ.Tatizo lenu no dharau, sasa hapo juu kuna kitu gani kipya hapo? Labda namba ya MMF companies mnatuzidi ila zipo za kutosha, mpaka a halal one
Sacco's huku ni vikoba, uliza uambiwe. Halafu hizo MMF mnaziuza kama safe investments, yani 100%safe........
Na haya madeni yenu,acha tuone siku bomu likiripuka.
πππHawa huwa wanakubaliana na wanachokitaka kuskia, sio ukweli.π
Mwambie akuonyeshe MPESA balance yake uskie hadithi.π
Mtu maskini mpanda matatu Ana brag kuwa na hela ambapo kimsingi hauna πππ inafurahisha sana.How many of you even understand how money market works? Let alone having account in one. Kwanza Iβm sure majority of Tanzanians hata hawajawaiskia something like money market na wale wenye JF wenye wameskia that name they knew it from meππ.
Saccos za Tanzania ni kama merry go round za Kenya, we call them digging a pit and putting your money inside, after 1 yr if you come back nothing will be added on top of whatever you saved.
Huwa kwanini watu wasio na kitu wanapenda kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa wana kitu? πππMtu maskini mpanda matatu Ana brag kuwa na hela ambapo kimsingi hauna πππ inafurahisha sana.
Wewe baboon mambo vipi. I just invested this today morning in a MMF account.Mtu maskini mpanda matatu Ana brag kuwa na hela ambapo kimsingi hauna πππ inafurahisha sana.
Akili za kimaskini ni shida kaka πππ akili za kimaskini zinaweza Fanya mdomo kuliponza tako.Huwa kwanini watu wasio na kitu wanapenda kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa wana kitu? πππ
Baboon hiyo pesa nimeinvest najua ni mshahara wako wa miezi tano. So hasira zako usiniletee fukara hiiππAkili za kimaskini ni shida kaka πππ akili za kimaskini zinaweza Fanya mdomo kuliponza tako.
Mambo ya gorofa tulishaachana nayo Mr. Watchman. Are you aware that Westlands alone has more buildings above 30 floors than the entire Tanzania?
Mshahara.? πππ Yani mimi unanieleza habari za mshahara.?Baboon hiyo pesa nimeinvest najua ni mshahara wako wa miezi tano. So hasira zako usiniletee fukara hiiππ
We all know wewe ni errand boy wa mwarabu na pesa anakulipa per can't even reach 10k and that's why unalishwa na msichana wa watuπππMshahara.? πππ Yani mimi unanieleza habari za mshahara.?
Yani account nzima ina 1.2 million Tzsh!?Si utengeneze tuone, na usisahau kutengeneza hii part pia ya hiyo appππ
View attachment 3099046
Hata chakula anachodai kalipia 10k ni sawa na 200k za Tz.duuh kumbe tunaongea na maskini yaan balance ulinayo kwa mpesa ni 54000ksh sawa na 1.1mil hela ndogo sana kijana endele kupambana
Sishangai Haya maneno kwasababu yanatoka kwenye kinywa cha maskini mpanda matatu ππWe all know wewe ni errand boy wa mwarabu na pesa anakulipa per can't even reach 10k and that's why unalishwa na msichana wa watuπππ