Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nani aumizwe wewe leta evidence kuwa umelipa kwa risit ambayo ni valid, au hujui electronic receipt zote lazima ziwe na namba na kwa genuine restaurant lazima ziwe na barcode
Unataka nikuwe risiti nipeleke wapi? 😂😂🤣😂

Ama unataka MPESA message uone?😂
 
Bado unaumizwa tu?😂😂😂

Hiyo ni M-Pesa Statement na sio risiti ya hoteli😂😂. Mbona wewe ni mjinga hivo?😂😂😂
kumbe we ndo mpumbavu unaijua statement, hapo juu imeandika statement?
halafu jua kabisa wewe ni tapeli humu huamniki .
jibu kwanza hapa ni kenya?
1726594778774.png
 
Unataka nikuwe risiti nipeleke wapi? 😂😂🤣😂

Ama unataka MPESA message uone?😂
meseji hata mimi naweza kudraft meseji nikakutumia. kwa genuine restaurant kila ufanyapo malipo lazima wakupe risiti. haha inaonekana hujazoea kwenda sehem kama hizo
 
meseji hata mimi naweza kudraft meseji nikakutumia. kwa genuine restaurant kila ufanyapo malipo lazima wakupe risiti. haha inaonekana hujazoea kwenda sehem kama hizo
Alafu ukishapewa risiti unapeleka wapi?Unainua juu ukionyesha watu ama? If I didn’t want receipt ulitaka wanilazimishe nayo?😂😂😂

Part ya Statement leo.
Screenshot_20240917-204827.png
 
Alafu ukishapewa risiti unapeleka wapi?Unainua juu ukionyesha watu ama? If I didn’t want receipt ulitaka wanilazimishe nayo?😂😂😂

Part ya Statement leo.
View attachment 3099019
kumbe wewe ni mpumbafu hii hata mimi naitengeza tu. the only valid proof that you paid ni receipt tu. kama ungekuwa umelipa basi karibia genuine restaurant zote hapo kwenu zina electronic receipts, hicho ulichoweka hapo sio valid ni kama jana ulipotuletea picha ya dubai ukidai ni kenya.
kumbe ndo maana mnaibiwa kirahisi na viongozi wenu sidhani kama hata institution zenu zinakuwa na vitengo internal audit.
 
kumbe wewe ni mpumbafu hii hata mimi naitengeza tu. the only valid proof that you paid a receipt . kama ungekuwa umelipa karibia genuine restaurant zote hapo kwenu zina electronic receipts, hicho ulichoweka hapo sio valid ni kama jana ulipotuletea picha ya dubai ukidai ni kenya.
So proof of payment sio kitu? Hata hii app pia unaezatengeneza na uandike jina Safaricom?😂😂
 
Na wanasema eti imeuzwa?

Kama imeuzwa TPA atoe wapi msuli wa kushusha bei?
haha wanajua basi kinachoendelea TPA bado anaendesha bandari ya Mtwara na Tanga ambako kuna mzigo wa kufa mtu wa makaa ya mawe na korosho. hata ingekuwaje bado mzigo TPA inaongiza sio wa kitoto.
mfano tu mikindani tozo tu za magari ya makaa ya mawe yayoingia bandarini kushusha mizigo kwa siku si chini ya mil 10 huku kila gari ni 30000 kwa trip tu
 
I really can't believe it.

Huyu jamaa alikua Zaidi ya Teargas kipindi thread ndio ikiwa changa. Ila now asee ni zaidi ya Tony254.
wengi wao walikuwa hawajahi tembelea bongo ndo maana wakawa wanaokotwa kuwa Kenya ni superpower. pia walianzisha miradi mingi sana ambayo mingi mpaka sasa haijamalizika huku kwetu karibia miradi yote iliyotakiwa kukamilika kabla 2025 ikiwa inaendelea ukingoni.
KABLA YA 2027 SGR ITAKUWA IMEFIKA MWANZA AFCON 2027 NDANI YA SGR
 
Back
Top Bottom