Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 aka baboon and The best 007 aka Watchman. Tokeni nje, I know you have never been to good hotels like these. That’s why mlikuwa kwa denial vile niliwaambia i have been to 5* Hotels several times😂😂🤣.

Today I was here👇👇👇, RAY SPOT Restaurant & Bar.

1726589293111.jpeg

1726589443938.jpeg
 
nyie kenge nlishawambia mnaunganisha hamna mnachotengeneza fala nyie kila part inatoka nje mnakuja kunganisha mnatupigia kelele hap. Tengenezeni from scrach tuone.
haha wakishaunganisha mabasi mawili kelele dunia nzima kuwa wako juu.
kiuhalisia wako nyuma sana hata hiyo GDP yenye iko kwa makaratasi ,tukianza kuwachambua hapa watakimbia.
 
Why post things that you will die even before stepping your foot in it? Tuonyeshe tu zile vibanda umezoea😂😂
unguni wewe unadhani wote tunanjaa kama weye. hebu lete status ya village market sasa hivi au hata haujui kuwa kuliwahi kuwa na village market nairobi. pumbafu kabisa ada ya lukenya britisha curriculum unaijua
 
Sasa unauliza mwenye anaenda village market almost weekly kama ashaiskia Village Market, are you okay upstairs?😂😂
 
Back
Top Bottom