The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huwa sijadili virtual things, ukipata tangible ulete tujadiliane.
By the way umeanza matibabu ya mikono yako?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huwa sijadili virtual things, ukipata tangible ulete tujadiliane.
By the way umeanza matibabu ya mikono yako?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ndio hii au kuna nyingine ina jina hilo??
View: https://x.com/ababunamwamba/status/1796189563221676239?s=46
Mumeanza kujihami mapema, hilo ni wingu bado mvua 😁😁Is your head ok? How do start comparing takataka ya 30,000 seats and a proper football stadium like Talanta? Hiyo takataka ngoja iishe kwanza ulinganishe Masinde Muliro Stadium in Bungoma.
Upo serious au unaleta ushamba wako hapa or something?Yani nyumba ya 11 floors imewashinda kujaza? Nimeanza kuona hiyo banner ya office to let for the past 6 yrs now since that building imalizwe kujengwa😂😂🤣😂
BUILD OPERATE TRANSFER 🤣🤣🤣🤣nioneshe sehemu gvt ikitoa hata shs 1 kumpa mchina mm nifunge acc sasa hvi😂😂
ajabu mpaka leo hamujui cost ya talanta 😂😂😂 prove me wrong
na ukitaka kujua ni pesa ya mchina mpaka mabango yanaandikwa kichina
![]()
Talanta Hela Stadium is a PPP project, Sports PS Tum says
Tum was representing Sports Cabinet Secretary Ababu Namwamba, who is outside the country, at the meetingnation.africa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ndio hii au kuna nyingine ina jina hilo??
View: https://x.com/ababunamwamba/status/1796189563221676239?s=46
wakiaanza kupunguzwa kazi wataanza ingia mtaani tuSaved.
Baadae tuone malalamiko sijui Safaricom.
Hawajui how much it will cost na ndio mchina anapiga hapo hapo kumiliki uwanja for 100 years 🤣🤣🤣nioneshe sehemu gvt ikitoa hata shs 1 kumpa mchina mm nifunge acc sasa hvi😂😂
ajabu mpaka leo hamujui cost ya talanta 😂😂😂 prove me wrong
na ukitaka kujua ni pesa ya mchina mpaka mabango yanaandikwa kichina
![]()
Talanta Hela Stadium is a PPP project, Sports PS Tum says
Tum was representing Sports Cabinet Secretary Ababu Namwamba, who is outside the country, at the meetingnation.africa
Teargas hvi sio ww ulisema mchina kakimbia site hajalipwa pesa yake ??😂😂
njoo unioneshe mm kua serekali ya kenya kwanza ilitoa senti moja ikampa mchina ajenge talanta mm nafunga acc maisha 😅😅
View: https://www.instagram.com/reel/C_n9eSHvt6h/?igsh=MTRsNGlmczZmN3cwbw==
utakuja kusikia 1bil usdHawajui how much it will cost na ndio mchina anapiga hapo hapo kumiliki uwanja for 100 years 🤣🤣🤣
Lazima kuna shirika moja la serikali limekuwa attached kama collateral mchina harudishi hela hapo hata umpe miaka 50BUILD OPERATE TRANSFER 🤣🤣🤣🤣
Ila hapo kwa Talanta nahisi ni Deni, maana PPP haitarudisha anything. Labda wakaombe Competition ya Riadha.
Ila walisema uwanja hautakua na Running Track full football stadium.
itakua ni loan lakini under heavy terms unaeza kuta wachina wamepewa hata bearth nne mombasa port wachukue pesa kwa miaka 20 😂😂😂😂BUILD OPERATE TRANSFER 🤣🤣🤣🤣
Ila hapo kwa Talanta nahisi ni Deni, maana PPP haitarudisha anything. Labda wakaombe Competition ya Riadha.
Ila walisema uwanja hautakua na Running Track full football stadium.
hawa wana laana za ukabila hakuna mtu wakuwaroga kondoo hawa 😂😂😂Ila Wakenya nani kawaroga Uwanja wa udongo
watakwambia wamefanya iwe siri 😂😂😂Hawajui how much it will cost na ndio mchina anapiga hapo hapo kumiliki uwanja for 100 years 🤣🤣🤣
Sisi tunakopa kuboresha afya, elimu, kilimo, uvuvi, miradi ya kimkakati kama umeme, maji, mass transit systems, ports, airports, marine transportation, rail and roads.yaan wanakopa eti kujenga flyover sasa sijui watalipaje madeni, halafu wanataka kulinganisha na nchi inayokopa kujenga irrigation schemes ili kurahisisha production, ile miradi ya maana imekufa wanakimbilia vitu vya showoff