Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

who own talanta???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
GOK. Najua unaumia lakini hivo ndio iko and you canโ€™t change it.

Talanta is owned by Kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1726517998117.png
 
umesahau na CBD pamoja na westland yote inaonekana vzr kabisa au ww huoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwani kuna shida? Hii picha ingepigwa Dar kitu ungekuwa unaona saa hii ni uswazi kila upande ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
View attachment 3097909
hawa walishapigwa ban 2021 viwanja vyao kutotumika tena sababu kibao ziliwekwa mpaka leo walikuwa hawaja umodify sasa leo wanatoka huko kuja kujitapa hapa
Watakwambia FIFA inawatambua not CAF, while CAF ni FIFA AFRICA CONFEDERATION MEMBER, President wa CAF ni Vice-president FIFA.

Kwamba CAF isiwatambue ila FIFA iwatambue ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
 
Iwekw hapa kijana.

Una mdomo sana, as we speak hakuna functioning stadium huko ukunyani inayoweza hold competition.

Unabisha iulize Harambee stars why inazurura na kuna Muliro stadium?

Maliza na Talaka kwanza.
Masinde Muliro bado haijamalizwa. Na ikimalizwa it will be better than the Arusha Stadium.
 
This build is fully vacant except for one floor with the open windows๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

Now I understand why nobody wants to build tall buildings in Tanzania, wanaogopa kupoteza pesa since the buildings will forever remain vacant ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
1726519184804.png
 
Back
Top Bottom