concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
We are not sharing a dead project like you guys. Many projects are proposed in both countries, only a few get actualized. Sasa nyie mmeng'ang'ana na project ishaakufa kitambo.😂😂
upi haujakamilika
Miradi mikubwa ya maendeleo nchini Tanzania iliyowekwa ili kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025
MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA ILIYOWEKWA ILI KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025 Serikali ya Rais John Magufuli imeanzisha Miradi ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Miradi hiyo ipo katika Mpango wa Maendeleo ya Mwaka wa 2016/17-2020/21...