concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Nyamaza mko na flyover mbili pekee nchi nzima😂😂🤣
Nyamaza mko na flyover mbili pekee nchi nzima😂😂🤣
Huyu mmama ni mshikaji wangu, alinihadithia jinsi begi lake lilivyoibwa na mtu wa Biden, anasema alitakiwa kupewa mkwanja mrefu sn sema akapotezea.
Unahangaika na watu walioendelea. Unasumbuka sana, mtu aliyeendelea hajielezi sana.Yani nyumba ya 11 floors imewashinda kujaza? Nimeanza kuona hiyo banner ya office to let for the past 6 yrs now since that building imalizwe kujengwa😂😂🤣😂
nioneshe sehemu gvt ikitoa hata shs 1 kumpa mchina mm nifunge acc sasa hvi😂😂GOK. Najua unaumia lakini hivo ndio iko and you can’t change it.
Talanta is owned by Kenya😂😂🤣👇👇👇
View attachment 3097912
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Masinde Muliro during Holiday Celebration.
They are currently putting roof and installing seats.
View attachment 3097916
Sasa unaongea nini mkuu Njombe Iringa Kuna lami,Njombe- Songea lami,Njombe- Iringa lami,Njombe - Makete lami,Njombe -Lami partly completed and in construction.Ndio hili sasa, dereva anajiamini kabisa, maanake, anafika Njombe.........
Njombe kwenye vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hata lami moja tu hamna!!!!! Aisee
View attachment 3093020View attachment 3093021
Haha anapajua basi, hao wanabahatisha tu hawapajui bongoSasa unaongea nini mkuu Njombe Iringa Kuna lami,Njombe- Songea lami,Njombe- Iringa lami,Njombe - Makete lami,Njombe -Lami partly completed and in construction.
Haijapinda kama Ile Azamu yao.Masinde Muliro during Holiday Celebration.
They are currently putting roof and installing seats.
View attachment 3097916
Sawa, how can a government spend money secretly!! Hivi mna akili kweli??Uonyeshwe kama nani? The same way the government has decided to keep the cost of Talanta a secret is the same ya Kasarani pia ni Secret. Na kama ni ya Mchina Ebu tuambie mchina amewekeza pesa ngapi hapo😂😂🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huwa sijadili virtual things, ukipata tangible ulete tujadiliane.
By the way umeanza matibabu ya mikono yako?