AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,113
- 2,968
Sabuni za Omo na geisha 😂😂😂
Mkuu mimi hawa jamaa ni jirani zangu sana... Ni mwendo wa kutembea tu kuingia kwako..
Kwa sasa wao ndio wana import sabuni kutoka Bongo... Sunda na mambo yao ya kleensoft wame leta mapinduzi makubwa sana kwenye sabuni na detergents. Sabuni za Bongo zinagombaniwa sana kunyaland maana ni bei rahisi na zinatakatisha bila kuharibu mikono. Hata sabuni yao ya kipande ya jamaa now kuna mbadala zipo nyingi
Mafuta ya taa tu ndio kitu kinanunulika kwa wingi kutoka kwao... Cement kuna mchina ameweka kiwanda KLM huko hata twiga cement watu hawana habari nayo