Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,947
- 34,996
Kubababake munakimbilia daladala nikama munapiga mwizi. 🤣🤣🤣 Maisha ya shida hii.
View: https://x.com/Tupaclifee/status/1833183405858586969
Hiyo bus stand kundusta nzima hamna
Kubababake munakimbilia daladala nikama munapiga mwizi. 🤣🤣🤣 Maisha ya shida hii.
View: https://x.com/Tupaclifee/status/1833183405858586969
Compare and contrastSafi sana umeanza kukubaliana na ukweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Alafu kuhusu commuter rail wewe mkenya huna guts za kuniambia chochote ikiwa commuter train zenu ni hizi 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3095059View attachment 3095060
Mbona iko poa tu, kitu gn kinafanya ucheke, au uzuri umezidi mpaka umepagawa nayo.Nganya ya dar is a slum 🤣🤣🤣
![]()
Tukianza leta zao wataanza kimbia hi humuMbona iko poa tu, kitu gn kinafanya ucheke, au uzuri umezidi mpaka umepagawa nayo.
Ni nn umeweka hapa? Kama unataka battle ya SGR station sema sio kuvizia kama hivi.Compare and contrast
![]()
Dar is a slum
![]()
You can’t compare hizo takataka na nganya.Tukianza leta zao wataanza kimbia hi humu
Dar is a slum commuter rail 🤣 🤣 🤣 Hapa bila mwavuli hutoboi.Ni nn umeweka hapa? Kama unataka battle ya SGR station sema sio kuvizia kama hivi.
Hio ni mawe haiwezi kua nganya.Mbona iko poa tu, kitu gn kinafanya ucheke, au uzuri umezidi mpaka umepagawa nayo.
Huna hojaHio ni mawe haiwezi kua nganya.
Cha ajabu hatuna Mazombie kama huko kwenu.Tanzania is bedroom of drug trafficking. Actually in South Africa Tanzanians are known as drug and human traffickers.
View attachment 3093603
Nganya ya dar is a slum 🤣🤣🤣
![]()
Watanzania hawajui the sweetness of these nganya.Hio ni mawe haiwezi kua nganya.
Kiberenge ndio jina lake 🤣Safi sana umeanza kukubaliana na ukweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Alafu kuhusu commuter rail wewe mkenya huna guts za kuniambia chochote ikiwa commuter train zenu ni hizi 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3095059View attachment 3095060
Hizi roli (trucks) TZ ni aziruhusiwi kubeba binadamuWatanzania hawajui the sweetness of these nganya.
Watanzania for your information these here are not stickers but drawings done by Kenyan youths.
View attachment 3095080
View attachment 3095081
View attachment 3095082
View attachment 3095083
View attachment 3095085
View attachment 3095087
Hata gari la wafungwa halipo hivi 😂
Hood nilikutana nazo mbili Tanga zimefubaaaa.Kwanza wakaonje vita ya abood na bm. Kama hawajui wamuulize akamba express na tawfiq miaka 1996- 2000 lilivyopigwa promo la wiki nzima dar- Nairobi Bure enzi za hood limited aka panyabook
Sasa kwenye hiyo reli kuna shida gani!?Hongera kwa bus station, lakini kwa commuter rail hua tumewapiga mwosho mmoja. Ona sasa Dar is a slum commuter rail.🤣🤣🤣
![]()
Mzee alichoka akarudi kwao India watoto wakashindwa kuendesha biasharaHood nilikutana nazo mbili Tanga zimefubaaaa.
Sidhani kama ile kampuni iko hai tena.