Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf end of the day ni mali ya mchina na still munalipa pesa kwa mchina ili kupita 😂

huna road fee hakuna service ila mchina hatoiona pepo😂😂😂😂
Thika road ilishamalizwa kulipwa. Alafu huwa unaumwa na mambo ya expressway, kuja Nairobi nikudrive through expressway kidogo😂😂🤣😂
 
Did you see my hands? Mkulima anaezakuwa na soft hands kama zangu. Most of you want to have such soft hands, hata wewe na zile zako ngumu najua unatamani kuwa na soft hands 😂😂🤣😂
Kwa standard za Kenya hizi ni soft hands 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240913-090227~2.png
 
kwikwi kwa sababu hujazoea kuona vizuri ndo maana unauliza kama hilo kanisa, hiyo ni bus stop tu ndugu chini ni maduka juu kuna pharmacy hapo ni kipindi ndo inaanza
Who told you churches are beautiful? And if I may ask, do that one and hile ya Nyefi do different work?😂😂🤣😂.

Zote ni bus park, end of story.
 
sawa ni kenya company vipi wameshindwa kudesign stend za maaana au wameshindwa kudesign jengo la bunge lenu kuliko kile kichaka
Wewe endelea kulia as Kenyans continue to rip money from your government designing beautiful buildings for you😂🤣😂
 
Back
Top Bottom