Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂 leo umejitia kidole mwenyewe, sasa utakinusa kwa Nguvu.

I thought wewe ni unatumia tu gari lako (oops kumbe huna) au una bolt tu as you always want us to believe, kumbe ni mpanda daladala tu. 😂😂😂😂😂

Venus Star The best 007 mtu wenu kanasa kwenye mtego leo. 😂😂😂😂
Akili za umaskini ni mbaya sana. So mwenye gari hawezi tumia public transport?😂😂😂

Najua unatamani nikuwe fukara kama wewe😂
 
😂😂😂😂 public transport matatu.? Sio bolt ama Uber kama ulivyotuambia.? Eti .? 😂😂😂😂😂
Bro, I decide what to use and not you. As long as you have money you can decide what to use bila kujali. Actually the last time used bolt was in April I think.

Hadi umefanya nikuite bro yet you are a Baboon😂😂
 
Bro, I decide what to use no you. As long as you have you can decide what to use bila kujali. Actually the last time used bolt was in April I think.

Hadi umefanya nikuite bro yet you are a Baboon😂😂
😂😂😂😂 haya ngoja waja waamue sasa 😂😂😂😂😂

Kubali maisha yako ya kinyang’au mzee.. you don’t have to fake little man. 😂😂😂😂 vile hutawazagi then unaminyana kwene matatu. Hiyo gari itakua haikaliki humo ndani mana raia wote wako na mbolea. 😂😂😂
 
😂😂😂😂 haya ngoja waja waamue sasa 😂😂😂😂😂

Kubali maisha yako ya kinyang’au mzee.. you don’t have to fake little man. 😂😂😂😂 vile hutawazagi then unaminyana kwene matatu. Hiyo gari itakua haikaliki humo ndani mana raia wote wako na mbolea. 😂😂😂
Najua unatamani tufanane, acha nifike kwangu nikukumbushe that I'll always be better than you. Just give me few minutes. Actually the reason why leo sikutoka na gari is because a certain mzee decided to park vibaya kwa parking lot so singeweza kutoka and I was running late for work.
 
Weka humu nikuonyeshe kitu.., unajuq maana ya neno 'slum eradication' kweli?.., Tanzania hakuna uswazi eradication program, eti mnabomoa makazi yenu uchwara kisha mnajenga nyumba za adabu sehemu uswazi ilikua., hamuna uwezo!!., mfano tazama 👇 hizi za Mukuru slums..,sio Kibera tu..,
Niondolee upuzi wenu wa ushabiki wa kitoto,
View attachment 3093461
View attachment 3093460
Danganya wasiojua Nairobi...

Mukuru kwa Reuben, kwa njenga and the like ni worst slums kuliko hata kibera...hebu tazama mazingira na uchafu...

This is 2024. Mukuru kwa Reuben... Tazama comment za wakenya wenzako wanakubaliana na hali.


View: https://www.instagram.com/reel/C_vKWaUN3dy/?igsh=dm1qMjdwZWFyOHgx
 
1000069726.jpg
 
Mnatamani muamke mkute ma slums hayapo lkn hilo haliwezekani daima dumu kutokana biggest gap btn those who have and those who have not, slums in Kenya are there to stay forever, you can't eradicate slums whilst you are facing hunger crisis year in year out.
Bado Nairobi imejaa slums... kimsingi ni slum capital ys hii Dunia. Tunawasitiri tu...worst slums in kenya
Mukuru zote...kwa Reuben, njenga nk
Kawangware
Korongocho
Mathare ( hii ni kubwa sana aisee kibera ikasome)

Na hapo kuna highrise slums zilizojaa mfano Pipeline..ghorofa moja wanakaa watu 3000 na wanashare toilets..ngua hazikauki nk


Mimi sijui viburi wanavitoaga wap hawa?

Mukuru September 2024

View: https://www.instagram.com/reel/C_vKWaUN3dy/?igsh=dm1qMjdwZWFyOHgx
 
Alafu Kuna kunguru atakuambia ati watu wanapanga lines for 5hrs waiting to board a matatu.


This is night picture nimechukua saa hii, matatu are so many at the see stage hadi they are the ones waiting for passengers to come and fill them.
View attachment 3093522
Kapige picha kenya Archives saa hii uone nyomi...
Mtadanganya dunia hadi lini?
Inafika hadi midnight watu wanasubiri Matatu Nairobi CBD kuwapeleka makwao... public transport ya huo mji ni mbovu kuliko any city in East Africa na Burundi wanawazidi..wao wana daladala nzr na safi aina ya coaster na hawana nissan au hiace Bujumbura
1725521440250.jpg
 
Back
Top Bottom