Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don YF The first qualification for a town to be called a city is Transport System. Does Nairobi have this qualification? Kama haina basi,

Nairobi is not a City is just a big town with splendid slums.
Sasa kila Kijiji yenye lami na reli ni city, mbwa kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Don YF amesema Tanzania ipo na jiji moja. That means Nairobi does not qualify to be called a City.
Dar pia eti ni jiji? CBD moja na ghorofa Tatu Kisha Uswazi kushoto kulia.🤣🤣🤣🤣🤣 ., wewe hautuambii lolote Wacha wageni wajionee, ushuhuda wao mitandanoni(YouTube) ni tosha.., udhaifu wenu haufichiki
FB_IMG_1722001850497.jpg
 
Kwa akili yako kuwa na lami na reli ndiyo Transport System? Nimeamini akili za wakenya zipo tumboni kwasababu ya njaa
Ndio akili zako hizo.., eti kigezo cha city ni transport system.., pia kutumia punda is also a system of transport kilaza, ama utabisha? ujinga mzigo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
 
Ndio akili zako hizo.., eti kigezo cha city ni transport system.., pia kutumia punda is also a system of transport kilaza, ama utabisha? ujinga mzigo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Unajieleza sana. Ungekuwa na City yenye Transport System ungeweka picha. Je, hakuna Transport system kwenu?
 
Jibwa linaleta ubishi wa kifala sana., tuondolee upuzi., hii👇sura haibadiliki kamwe., tazama kwa karibu, najua kwako ni hizi sehemu.., mifukara kutoka vijijini mko pia jijini kwa wingi idadi zaidi ya Nairobi na Mombasa combined!! mbwa wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3093443
Nazikumbuka picha hizi zilipigwa mwaka 2008
 
Benjamin Mkapa ni 60k seaters.
Una lingine la kusema??
Hao vilaza hawaijui TZ,huyo dada kila siku kuiponda TZ kama anaijua vile leo kuulizia issue ya uwanja ndio kaonesha uelewa wake mdogo wa kuijua TZ,most ya kunyan vilaza mara nyingi wakifika TZ uwa wanashtuka ndio youtubers wao wamejaa hapo dar na znz
 
I can see thousands of roofless toilets. 🤣 🤣
Hawa watu wako hovyo sana, I wonder why we argue with them here.., google earth 3D images za Tz yote hakuna any!.., now vile Ruto amejenga affordable Kibera watatoa wapi picha za kujiliwaza? Have u seen the works kwa ground, a big chunk was flattened.., highrises zimekam speed..,
 
Works at Kibera Soweto B housing project.., vilaza bado wako tu na uswazi hawana uwezo wala mpango wa kuzibomoa.,
Kibera-workers-696x465.png
 
Hawa watu wako hovyo sana, I wonder why we argue with them here.., google earth 3D images za Tz yote hakuna any!.., now vile Ruto amejenga affordable Kibera watatoa wapi picha za kujiliwaza? Have u seen the works kwa ground, a big chunk was flattened.., highrises zimekam speed..,
So you have decided to write an essay for us? We have asked you to show us the Transport System from Kundustan, you are giving us a speech. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom