Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar pia eti ni jiji? CBD moja na ghorofa Tatu Kisha Uswazi kushoto kulia.🤣🤣🤣🤣🤣 ., wewe hautuambii lolote Wacha wageni wajionee, ushuhuda wao mitandanoni(YouTube) ni tosha.., udhaifu wenu haufichiki
View attachment 3093431
Kwa picha kama hii ungeona Nairobi yote na its surroundings counties 🤣🤣🤣🤣
 
Hawa watu wako hovyo sana, I wonder why we argue with them here.., google earth 3D images za Tz yote hakuna any!.., now vile Ruto amejenga affordable Kibera watatoa wapi picha za kujiliwaza? Have u seen the works kwa ground, a big chunk was flattened.., highrises zimekam speed..,
With a stalling economy na hata waziri wenu wa fedha kasema na ninam quote " we are barely surviving "
Hii ni baada ya kutisha dialogue na wananchi on the way forward katika ku rescue finance bill.
Sasa najiuliza hayo maghorofa mtafanyia nini na uchumi unaanguka?
Akili ndogo ni shida sana.
 
How is 3,000MW more than Kenyan 3,800MW? Alafu ujue only 40% of Tanzanian households are connected to electricity.
Kenya has 3100mw as installed capacity but what is available is 2239 only you canot ramp up more than that juzi matumizi yali exceeed demand kukawa na Power disturbance 😁
And mind you hiyo installed capacity yenu mmejumlisha mpaka 200mw from Ethiopia na other megawatts from Uganda.
In short available power ni 2300mw tuu.
 
While Tanzania only have 2,408MW after Nyerere has started operating but only 1,379MW is available for usage against a demand of 1,200MW.
 
Back
Top Bottom