Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana CEOs wao wanatoa Kenya.

Tissue​

Faida:​

  • Rahisi kutumia na inapatikana kwa urahisi.
  • Inaweza kuwa chaguo bora wakati maji hayapatikani.

Hasara:​

  • Inaweza kusababisha ukavu na maumivu kwa watu wenye ngozi nyeti.
  • Si rafiki kwa mazingira kwani inachangia taka nyingi.

Maji​

Faida:​

  • Husafisha vizuri zaidi na kuondoa uchafu wote.
  • Ni rafiki kwa ngozi na hupunguza hatari ya maambukizi.
  • Ni bora kwa mazingira kwani haina taka

Hasara:​

  • Inahitaji upatikanaji wa maji safi na vifaa vya kutosha.
  • Inaweza kuwa changamoto kutumia katika maeneo yenye uhaba wa maji.

Kwa ujumla, kutumia maji mara nyingi huchukuliwa kuwa bora kiafya na kisafi zaidi.​

Napenda sana hizi changamoto zinavyotokea sasa hivi zitatuliwa kabla ya mradi kukabidhiwa kwetu na wakandarasi,kuonyesha hivi vitu ni kawaida kutokea mpaka sasa mradi bado upo kwa yep merkez,kunyan itabidi waumie tu maana ikifika dec changamoto za brt pia zitakua zishafanyiwa kazi,imagine dar yote ikiwa imezungukwa na blue buses kunyan watakavyoumia
but wakat mwengine inaonekana kama ni hujuma zinaendelea
 
Hamjui kuishi na wageni, walikuja wakati wa Covid baada ya kukaribishwa na Maghu. Leo hii wengi wamehamia Kenya, SA, Ghana na Nigeria. Bongolalas and your petty government have frustrated them. Kila uchao huko YouTube kumejaa complaints from African Americans on why bongoslum is full of sh*t.

View: https://youtu.be/NDKQZx4tEYU?si=dm12goVVFIZbs9AE huyu dada alikuwepo TZ miaka kama 2 hivi,akajaribu kunyaland wiki tu kukamshinda akarudi TZ,baadae akaenda south africa kama mwaka hivi kumemshinda karudi tena TZ na pesa zake this time,anawekeza hasa,huyo ni bint yake msikilize anaprefer nchi ipi kati ya TZ na SA,kunyan TZ ni paradise maku zenu nyie
 
Ngara, Nairobi

Image
Mtapost maghorofa hadi mjute hamna cha maana mnachofanya,sie tunapiga kwenye mshono tu
20240826_214114.jpg
 
Munataka wawe na pesa ju bongoslum kila mtu ni omba omba, unakuta jibaba anjielewa tu vizuri lakini ana omba omba kama mtu homeless. 🤣 🤣 🤣 Tembeeni dunia ili mjifunze kuishi na wageni.
Wapapatikieni nyie sisi huku unatakiwa utoe pesa as long as you are foreigners, nchi yetu ni blessed ina mali nyingi hatukaribishi maskini waje kuvuna pasipo kutoa, wachukueni nyinyi, sisi huku tunakaribisha wenye pesa, na ndiyo maana unaona hata pesa ya utalii Tanzania ni more than Kenya, Uganda and Rwanda combined.
 
View: https://youtu.be/NDKQZx4tEYU?si=dm12goVVFIZbs9AE huyu dada alikuwepo TZ miaka kama 2 hivi,akajaribu kunyaland wiki tu kukamshinda akarudi TZ,baadae akaenda south africa kama mwaka hivi kumemshinda karudi tena TZ na pesa zake this time,anawekeza hasa,huyo ni bint yake msikilize anaprefer nchi ipi kati ya TZ na SA,kunyan TZ ni paradise maku zenu nyie

Huyu hakuwai ishi Kenya wewe pimbi, kutalii Kenya wiki moja sio kuishi. 🤣 🤣 🤣 Bwana watu sio wajinga bana.
 
Wapapatikieni nyie sisi huku unatakiwa utoe pesa as long as you are foreigners, nchi yetu ni blessed ina mali nyingi hatukaribishi maskini waje kuvuna pasipo kutoa, wachukueni nyinyi, sisi huku tunakaribisha wenye pesa, na ndiyo maana unaona hata pesa ya utalii Tanzania ni more than Kenya, Uganda and Rwanda combined.
Kelele za chura, Bongoslum na Kenya kwa sekta ya utalii ziko sako kwa bako, na mkona nchi kubwa mara mbili ya Kenya lakini kichapo is a must hadi munawauzia waarabu game reserves. 🤣🤣🤣
 
View: https://youtu.be/NDKQZx4tEYU?si=dm12goVVFIZbs9AE huyu dada alikuwepo TZ miaka kama 2 hivi,akajaribu kunyaland wiki tu kukamshinda akarudi TZ,baadae akaenda south africa kama mwaka hivi kumemshinda karudi tena TZ na pesa zake this time,anawekeza hasa,huyo ni bint yake msikilize anaprefer nchi ipi kati ya TZ na SA,kunyan TZ ni paradise maku zenu nyie

Hawa walianzia Bongoslum lakini baada ya kufika Kenya wakajua kumbe Bongoslum is a sh*thole.

View: https://www.youtube.com/watch?v=DV0gbMIDfUY
 
Effecient means
1. Readily available
2. Reliable
3. Flexible
4. Timely
5. Comfortable.
6. Affordable
Remove in that head of yours that for transport to be efficient it should be BRT, you can have it and it is not efficient.
Now. Nairobi has a very efficient transport especially, these days where Jams are a thing of the past.

I wake up at Mirema, three Zuri buses will be waiting at Khetia's stage. I jump into the one in the front and in 5 Minutes am in the CBD. WHAT ELSE IS EFFECIENT THAN THAT.!?
View attachment 3092684
Long Distances (Made in Kenya)
View attachment 3092685
Short Distances (Made in Kenya)
Haya mabus machuma tupu,mabus makubwa wanapata shida ktk mizani ni mazito hata kabla ya mizigo 😁
 
Back
Top Bottom