๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Kwani hii train ya bongoslum hukwama kila siku. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hii ni mara yake ya saba kukwama sasa๐๐๐คฃ๐.๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Kwani hii train ya bongoslum hukwama kila siku. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Waliuziwa screpa ๐๐๐คฃ๐๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Kwani hii train ya bongoslum hukwama kila siku. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ndege zinawasumbua, BRT buses zinawasumbua, running the port inawasumbua nilijua tu hizi train zitawasumbua pia. ๐คฃ๐คฃ๐คฃHii ni mara yake ya saba kukwama sasa๐๐๐คฃ๐.
Within 2 months they have already had 7 stalls, Iโm trying to figure the number of times itakwama after one year of operation ๐๐๐คฃ๐
Lack of skilled labour. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Nikama Koreans hawakuwapatia manual.Waliuziwa screpa ๐๐๐คฃ๐
Second hand items hazikujangi na manuals๐๐๐คฃ๐Lack of skilled labour. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Nikama Koreans hawakuwapatia manual.
Finyaaaa ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃSecond hand items hazikujangi na manuals๐๐๐คฃ๐
Abuya anacheza timu gani vile? Tuna msaada mkubwa sna kwenu na kwenye huu ushindi zidi ya timu dhaifu ya Namibia.Football Nation katika ubora wake
View: https://x.com/Harambee__Stars/status/1833565197589746064?t=LDhexRb_GtkLu980bIXB4w&s=19
Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...daraja la wami?? ๐๐๐๐ anhh jamani
Mbona si tukiwa kwao mengi tu yanatukuta na hatuendi Youtube kulalamika?Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...
Nimependa hawa waamerica waliosema kuhusu Tanzania...na ni kweli sikatai kuna shida
Sijui viongozi wetu hiz video wanazitizama hiz?
Wameamua wakimbilie zao Botswana Maskini...
Kenyan na vimbelembele vyao vya kudanganya dunia kuwa wako better than other Africans check wanavyojaribu kuwakaribisha kenya kwa nguvu zote wakiiponda Tanzania na nchi nyingine...wanasahau watu wanafanya research na nashukuru kuna watu wamesema hapo Kenya ni even worse than Tanzania kwa corruption na bureaucracy
Sema na hao waliyatimba. Sisi tunataka kuondoka hapa Tz tukimbie hiz cartels zinazoendesha nchi wao walikuja hapa ( sema walikuja kipindi cha magu)
Taasisi zilizofanya wahame ni Uhamiaji na TRA.
View: https://youtu.be/AbxMwPYKiHU?si=OF9FOZ7DdZGXbmmB
Endelea kujifariji kwa picha za zamani.
Ushajiumbua.
Kwa akili yako utamfunga Cameron na Zimbabwe kwake?
Mkuu piga picha mji peke yake ukiweka na hao viumbe unatutoa mchezoni, badala ya kuzoom mji kuna pahala nimezoom ๐
๐๐๐ Nilitegemea yote haya!Mkuu piga picha mji peke yake ukiweka na hao viumbe unatutoa mchezoni, badala ya kuzoom mji kuna pahala nimezoom ๐