Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe hamutaki kuulizwa ?? Unless uniambie hao wanaoua watu hawatokufa then hapo nitakuelewa, lakini ikiwa kila muosha ataoshwa anhhh mzeee, kama kuna MTU hatukua nitajie mmoja Tu ingekua uhai unanunuliwa basi kuna watu wangeishi maisha yote

Hii story inachafua image ya nchi Hasa kwenye tourism sector, na foreign issues hususan investments. Watoto wanatekwa ovyo, watu wanatekwa ovyo wanauliwa what is this ??? Kuna kitu gani nyuma ya pazia
Kuna mtu hatokufa? Mbona nyie mlikuwaga mnanitishia humu ndani kisa nakosoa sera za Mzilankende? Unajitoa ufahamu 😂😂😂😂😂

Nyie mlikuwaga mnajua hamtakufa au? 😁😁😁😁😁
 
Kantarama kaamua. Hizi zimeshuka jana huko South toka Brazil. Hii ni game changer mpaka mwaka huu uishe. Kuna mabadiliko makubwa sana.

Watu wanahamia Brazil

1725799265779.png
 
Kuna mtu hatokufa? Mbona nyie mlikuwaga mnanitishia humu ndani kisa nakosoa sera za Mzilankende? Unajitoa ufahamu 😂😂😂😂😂

Nyie mlikuwaga mnajua hamtakufa au? 😁😁😁😁😁
Anhhhh Bana hiii issue inaharibu image Bana too much mzee, inakua kama watu hawajiamini na 2027🤣🤣🤣🤣
 
Huyo Watchman asikusumbue, anavaa t-shirt ya Wasafi mpaka inalika namna hiii 👇👇👇👇View attachment 3089991
Ile umaskini ipo Kenya si ya dunia hii, mwingine kashona t-shirt kwa mkono 👇👇View attachment 3089992

Mwingine kapiga mitumba yake full hata pasi ya kunyoosha nguo hana na buti lake la SGR anakuambia ana maisha mazuri 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3089993

Na hivi ndiyo viatu vyao, wanakuambia waliingia faivu sitaa oteli, viatu vimelika alafu vikalika tena, hawa wakenya ni mafukara mnooo aiseee 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3089994
Wewe watchman safisha makucha zako. Stop comforting yourself. Eti wasafi! Wapi t-shirt ya wasafi hapo? Ama hata hujui label ya wasafi na rangi zake zinakaaje na wewe ni bongolala!!
 
Sikatai. Ila hao wa Fiber huwezi ona walianza mahali!? Wakaanza na zile vyuma na mabati, wakapata Experiences na Capital wakaupgrade!?

OK, sasa wewe furaha yako iko wapi watoto wawenzio huko China na Brazil, wakiunda kitu wanakuuzia kisha unaringa!? Fahari gani ipo hapo!?
Kwani unadhani Tanzania hakuna fabricators ? Ila wakunya buana 😀😀😀
 
Kunyan mindeset zao eti sie tunawaona kama wao special flan hivi kumbe!wangejua jinsi tunavyowachukulia wa ovyo miaka na miaka,au sijui hawajui maana ya jina nyang'au lililoasisiwa na baba wa taifa mwl nyerere 😀
Wanafundishwa hivyo tangu wakiwa wadogo, na hawajawahi hata kwenda sehemu yoyote. Propaganda za Elite Families zimewaingia sana.

Halafu nimecheka sana. Anajiita Pan Africanist halafu hapo hapo anajiona mkenya kwanza. Pan Africanism inaongelea Uafrika kwanza halafu ndio uje kuongelea Nchi yako.
Mitandao hii inakuja na mambo mengi sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi wanajua nyang'au inamaanisha nini kweli,maana sisi wenyewe tunafundishwa kunyan wote ni nyang'au 😀😀
 
Wanafundishwa hivyo tangu wakiwa wadogo, na hawajawahi hata kwenda sehemu yoyote. Propaganda za Elite Families zimewaingia sana.

Halafu nimecheka sana. Anajiita Pan Africanist halafu hapo hapo anajiona mkenya kwanza. Pan Africanism inaongelea Uafrika kwanza halafu ndio uje kuongelea Nchi yako.
Mitandao hii inakuja na mambo mengi sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
The same Nyerere meenye aliwaambia mkitaka kwenda ulaya msisumbuke kwenda mbali; mje tu Nairobi ama Nyerere mwingine?
 
Back
Top Bottom