Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii issue inaleta maswali mengi sana daah
Tanzania inakwenda wapi jamani mbona tunaingia kwenye mtego mbaya Sana
Screenshots_2024-09-08-19-15-01.png
 
Ukiwakuta wakundustan wanaongea utafikiri wanatoka nchi flani EU au America, Na wanajiita Capitalist ila kila kitu walichonacho kizuri ni cha Wa Communist na ndio wanaoficha Nyuchi zao chafu 😂😂😂
Imagine huo msemo wana copy kwa Mzee Mao toka 1935

View attachment 3090255

View attachment 3090256
Hiyo KICC yenyewe sasa ilipo🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240807-111606~2.png
 
The same Nyerere meenye aliwaambia mkitaka kwenda ulaya msisumbuke kwenda mbali; mje tu Nairobi ama Nyerere mwingine?
Ulaya yenyewe sasa 🤣 🤣 🤣 🤣
Haina BRT wala umeme wa uhakika, ulaya haina hata tram wala electrified railway 🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya haina approved stadium hata moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya haina uhakika wa kula 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya ina ma slums mpaka ikulu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya yenye raia wenye low life expectancy kuliko wote EA labda ulaya ya nyoko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania ndiyo Ulaya as compared to your country kwasababu tumewapakata kwenye sector zote nilizotaja hapo juu, ugua polepole Mr. Red Eyes 👀 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Bus limesimamishwa Saa 12 jioni na gari mbili mbele landcruiser nyuma V8 nyeusi wakaingia watu wenye silaha Aina ya SMG, na gari imesimamishwa kibo tegeta, bus lenyewe ni tashrif wakaingia watu wawili wenye silaha wakampiga pingu na kumshusha chini wakamuingiza kwenye V8 nyeusi, wananchi kwenye bus walipoulizwa wakajibiwa haliwahusu, Kesho yake kauwawa mwili umetupwa ununio tena mwili umepigwa na kumwagiwa tindikali usoni na Huyo ni mjumbe WA sekretari Taifa WA chama pinzani

Hvi kwa maelezo haya bado unahitaji D mbili kuelewa mzee Baba 🙃🙃🙃🙃
 
Ulaya yenyewe sasa 🤣 🤣 🤣 🤣
Haina BRT wala umeme wa uhakika, ulaya haina hata tram wala electrified railway 🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya haina approved stadium hata moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya haina uhakika wa kula 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya ina ma slums mpaka ikulu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya yenye raia wenye low life expectancy kuliko wote EA labda ulaya ya nyoko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania ndiyo Ulaya as compared to your country kwasababu tumewapakata kwenye sector zote nilizotaja hapo juu, ugua polepole Mr. Red Eyes 👀 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Umesahau kitu kimoja muhimu sana. Wanatembea na mbolea kwenye underwear zao

Kwahiyo unaweza kulima mchicha kabisa na ukaota
 
Back
Top Bottom