Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana ukitizama mikataba tunayoingia sisi na China ni more favorable kuliko ya Kenya na China.
Magufuli kipindi yeye waziri wa miundombinu aliwahi kubomoa barabara iliyojengwa na mkandarasi wa China na kuhimiza ijengwe imara.
Embu nambie Mkenya angefanya hivyo!?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Tatizo la ndugu zetu hawa wamekuwa wakionyesha wivu pale Tanzania inapoonekana kufanya vzr katika mambo wanayotamani wangekuwa wao, ni muda mrefu humu wamekuwa wakikashifu China na kusema sisi ndugu zetu wachina wao ndugu zao wamarekani, lkn leo baada ya kuona China anatoa mpunga na Marekani anatoa maneno wameanza kusema kuwa wao ndiyo wanajuana zaidi na mchina kuliko mtanzania, lkn mchina sio mnafiki, anaonyesha kwa vitendo huko kwenye mkutano.
 
Kwamba UN Secretary General is Migiro? Did Antonio Gutierrez resign as the UN Secretary General? Mibongolala jameni? Desperation mtaacha lini?
 
Hao wote ni jobless wanasubiri ajali itokee waibe hawana kingine 😅😅😅😅😅😅
 
Kwamba UN Secretary General is Migiro? Did Antonio Gutierrez resign as the UN Secretary General? Mibongolala jameni? Desperation mtaacha lini?
Fala wewe Asha Rose Migiro aliwahi kuwa UN general secretary miaka 15 iliyopita.
Ndio maana nimetumia neno aliwezaje kuteuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…