Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti na TAZARA ni investment gani ya maana mchina kafanya Tanzania? Imagine after kununua mabasi Yao kwa wengi they are still coming to assemble those buses in Kenya.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ–πŸ–πŸ–Ona hii piglet.
Viwanda vya urafiki textile alifungua murkomen!??
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ–πŸ–πŸ–Ona hii piglet.
Viwanda vya urafiki textile alifungua murkomen!??
Do you know the number of textiles in Kenya owned by Chinese πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tu kaka, usilazimishe vitu mkuu, mambo yanajieleza yenyewe. Ni athletes wachache sn duniani au celebrities wachache mnoo duniani waliowahi kujulikana na kila mtu duniani wakiwemo Michael Jackson, CR7, Messi n.k lkn walio wengi wanafahamika hapa lkn pale hawafahamiki kutokana na aina ya tasnia aliyopo na mtazamo wa watu katika tasnia hiyo, na mazingira waliyopo watu husika.

Kwa mfano Kipchoge hapa hapa East Africa hajulikani kiivyo kama unavyodhani, mfano ni huku Tanzania watu wengi hawajui lolote kuhusu Kipchoge, hata mimi mwenyewe sikuwa namjua mpaka mwaka juzi kama sikosei alipopandishwa ndege ndipo nikamjua kupitia humu jf lkn sina taarifa zozote kumuhusu na sifahamu kama bado anakimbia ama la ukiachilia mbali sijawahi kumuona akikimbia. Hiyo inatokana na watanzania wengi kutofuatilia mambo ya riadha.
 
Faw, Howo, Mercedes, Volvo, Scania, Isuzu, Hino, Fuso, Hyundai, Leyland, Dongfeng, Tata, Foton, Renault, Eicher, Shacman, JAC, Beiben, Man, UD.

Hizi zote zinakua assembled in Kenya, ebu tuambie ni ngapi gani kwa hio list zinakua assembled in bongoslum?
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kituko cha mwaka 2024
 
Unaongelea less than 2,000 while Isuzu alone has assembled more than 100,000 trucksπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Acha wivu kijana. Jana si Teargas alisema mmebeba madeals.

Na narudia usifananishe Tanzania na any Africa country mbele ya CHINA TAFADHALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…