Kichefuchefu wao
Member
- Aug 29, 2024
- 61
- 190
Eti bibi titi π π π π π π π πBibi titi suluhu anajua kuvaa? πππ
Unamjua bibi titi wewe π π π π π π π π
Eti bibi titi π π π π π π π πBibi titi suluhu anajua kuvaa? πππ
Hizo ni za kutungulia ndege.Halafu ni guided missile hizo balaa.
Jamani Nairobi mmepaonaaa!?π€£π€£
View: https://x.com/Alfayaz11/status/1830542723096469885?t=0xEGLG4Mr2eYrbgE-Un8bA&s=19
Utafikiri linchi lao liko kwenye dunia ya kwanzaπ...Alafu wanavyokaza mafuvu humu asee
Wewe endelea kuimba wimbo wako takatifu wa render huku kila mradi ikijengwa wewe ukibaki kinywa waziSi kapost render au ww kipofuπ π π
Wacha hasira mzee, kama hujaona render labda nikuoneshe tena plz π π π πWewe endelea kuimba wimbo wako takatifu wa render huku kila mradi ikijengwa wewe ukibaki kinywa wazi
Macho Yao yote Tanzania π π π π
Yani Tanzania ndio SASA inapigiwa mfano kwenye nchi Yao unlike 15yrs ago maneno haikua hvo, kweli mbwa anakufa SASA
View: https://x.com/ntvkenya/status/1830684737943306268?t=SU-Enc6Q1IAX8oLet2U5tA&s=19