Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si ndo maana ujenzi wa viwanja vya Dodoma na Arusha vinasuasua! Mama kasha-divert funds Magufuli style kule Chato airport!
Hivi viwanja viko kwenye budget ya mwaka huu ambayo imeanza utekelezaji mwezi wa 7 hivyo hela ilikuwa inasubiriwa toka serikalini ila viwanja vya kizimkazi ni wafadhili wa ndani crdb akiwa mmoja wao.
 
Kama ulaya mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥
20240829_215410.jpg
 
Wakundustan hawaamini sasa hivi Wabongo wanawapa ajira wapeleke remittance kwao😂 kuwekeza mzigo mzito (Refer Taifa gas) na Kununua kampuni zao( Bamburi) eti hawaamini macho yao walidhani labda 2040 huko😂

Wakundustan kuanzia juu hadi Chini wote akili moja. Imagine mkundustan yupo mtandaoni kwa ajili ya Exchange rate anataka aje Bongo na buku lake anunue hadi majengo na Magari yote ya Diamond 😂😂😂😂.

IMG_4176.jpeg

View attachment 3082510View attachment 3082510
Hiyo projected timeline aliweka nani mkunya?
 
Back
Top Bottom