Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Mambo inazidi kuwa moto yaani 🔥🔥
View: https://x.com/TheAfricaReport/status/1829208318080102830?t=HZ9n6-1MhAc182xJwiKw1A&s=19
Mm ninayo marcedes Benz we Una nn??Kwa hivyo sifai kusema ni gari ya kawaida ju sina. 🤣 🤣 Enda uskie vibaya na huko.
Nani amekuuliza kama ukona Mercedes Benz? 🤣 🤣 🤣Mm ninayo marcedes Benz we Una nn??
Ikiwa nimeona probox ndio gari ya kutembelea na kwendea bar 😂😂😂😂
Kama Hyundai ya 2024 imekuuma post gari yako basi 😂😂😂😂😂Nani amekuuliza kama ukona Mercedes Benz? 🤣 🤣 🤣
Hakuna mahali imeniuma, nilisema ni gari ya kawaida.Kama Hyundai ya 2024 imekuuma post gari yako basi 😂😂😂😂😂
Ila ruto anaakili Sana 😂😂😂🙌🙌🙌
![]()
Kenya Airways Sh120b debt for planes
From 2017, KQ serviced a restructured debt until early 2020 when it faced financial constraints due to the Covid-19 pandemic.nation.africa
Walileta tabia zao za kinyangau kwenye miradi ya watu 🤣🤣🤣🤣Wanalaumiana na bado hawajasema
Watasema mda ukifika
Uncertainty.Kuna kampuni ya Kundustan imetoa ofa kubwa zaidi ya Amsons 👇👇![]()
Amsons Group’s Sh475 billion bid for Kenyan cement firm set to sail through
Reports show that the deal has since received the backing of the major shareholders of Bamburi Cement.www.thecitizen.co.tz