Globe trotter iko kazini 😁
Na ukitaka kujua nyang'au bado washamba angalia jinsi wanavyojiona wazungu😎
And that's a flex? Tanzania kifikra mko nyuma miaka hamsini.Hujaona Waziri anatumia ndege bora kuliko ya Ruto!
🤣 🤣 🤣 🤣 UmelowaAnd that's a flex? Tanzania kifikra mko nyuma miaka hamsini.
Si eti tunasema. It's a fact bongolala and you cannot take that fact away. Mtaumia sana ila ukweli itabakia palepaleWatuambie hizi zimetoka wapi? Kundudwellers. Buses hawana halafu wanadai kuwa wao ndio wanaunda mabasi. 😀 😀 😀
View attachment 3081823