Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakundustan hawaamini sasa hivi Wabongo wanawapa ajira wapeleke remittance kwaoπŸ˜‚ kuwekeza mzigo mzito (Refer Taifa gas) na Kununua kampuni zao( Bamburi) eti hawaamini macho yao walidhani labda 2040 hukoπŸ˜‚

Wakundustan kuanzia juu hadi Chini wote akili moja. Imagine mkundustan yupo mtandaoni kwa ajili ya Exchange rate anataka aje Bongo na buku lake anunue hadi majengo na Magari yote ya Diamond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

View attachment 3082510View attachment 3082510
Unaweza ukadhani labda wapo mbele ya Tanzania πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kweli hawa raia wa kundurenda ni vilaza kuanzia viongozi wao hadi raia wa kawaida wamedanganywa wee mwisho wa siku mafuta na maji yamejitenga kilicho bakia kwao wanajua kuongea English ya master wao
Wakundustan hawaamini sasa hivi Wabongo wanawapa ajira wapeleke remittance kwaoπŸ˜‚ kuwekeza mzigo mzito (Refer Taifa gas) na Kununua kampuni zao( Bamburi) eti hawaamini macho yao walidhani labda 2040 hukoπŸ˜‚

Wakundustan kuanzia juu hadi Chini wote akili moja. Imagine mkundustan yupo mtandaoni kwa ajili ya Exchange rate anataka aje Bongo na buku lake anunue hadi majengo na Magari yote ya Diamond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

View attachment 3082510View attachment 3082510
 
Wakundustan hawaamini sasa hivi Wabongo wanawapa ajira wapeleke remittance kwaoπŸ˜‚ kuwekeza mzigo mzito (Refer Taifa gas) na Kununua kampuni zao( Bamburi) eti hawaamini macho yao walidhani labda 2040 hukoπŸ˜‚

Wakundustan kuanzia juu hadi Chini wote akili moja. Imagine mkundustan yupo mtandaoni kwa ajili ya Exchange rate anataka aje Bongo na buku lake anunue hadi majengo na Magari yote ya Diamond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

View attachment 3082510View attachment 3082510
Kasi yetu kwa kenya inakwenda kama mchina alivyoistua duniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So kwann unabeza Hyundai ya 2024 wakat ww huna hata baiskeliπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Yani nimekaa dharau wakat hamuna mbele wala nyuma kondoo nyinyi
Kwa hivyo sifai kusema ni gari ya kawaida ju sina. 🀣 🀣 Enda uskie vibaya na huko.
 
Kwamba hujui yalianza lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Inawezekana kua yalikwepo lakini kwa SASA yamekithiri Sana shida ni nn?? Na kwann yamekithiri Kias kwamba kila Kona SASA hvi wazazi wanachunga watoto wao

Juzi Kati kuna panya road wamepita mitaani wakaanza kuibia watu simu pesa na kuwatishia na mapanga just imagine Saa 10 jioni wala sio usiku, alaf nchi imehamia kizimkazi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tunaenda kujenga stadium ya over 10000 seats kijijini kabisa eti tunaibua vipaji wallah hii nchi πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Back
Top Bottom