Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Badala kujenga sehemu potential tunapeleka miradi sehemu ambako hakuna wanamichezo WA mpira 😂😂😂😂😂

Yani naona aibu Sana kwakweli
Hii nchi sasa ilipofikia ni sehemu mbaya sana,tunahitaji mfumo bora wa uongozi na sio kiongozi bora

Kiongozi anapoingia madarakani anakuta tayari kuna mipango ambayo Mfumo umeshaiweka Ila akiienda kinyume nayo tutamuuliza kwanini anafanya hivyo
 
Yani kuna vitu vinasikitisha kupeleka uwanja mkubwa WA mpira kizimkazi kweli na watu wanashangilia kabisa 🙌🙌🙌🙌
 
Watuambie hizi zimetoka wapi? Kundudwellers. Buses hawana halafu wanadai kuwa wao ndio wanaunda mabasi. 😀 😀 😀

IMG_20240829_081101.jpg
 
Back
Top Bottom