Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TRC imetowa pesa ngapi kujenga SGR?😂😂🤣

As long as deni la SGR haijalipwa that SGR is not yours😂😂🤣
Kundudweller bado unaendelea na malalamiko yako? Sisi Tanzania hatuna cha kukusaidia itabidi uvumilie tu maana doze bado hatujamaliza.
 
Leo ndio umekili reli yenu ni tembo mweupe
"umekili" ndio kusema nini zezeta? ulimi umezembea kama akili ilivyo hehehe, wacha kukwepa, najua umenielewa kikamilifu., kwa sasa sivyo, kama unauelewa tafadhali niambie mtatoa wapi mizigo zaidi ya tani millioni sita ya kubeba kupeleka vijijini ili muwe level moja na SGR ya Kenya kwa mapato? WHITE ELEPHANT!!!..., kanusha kwa kutoa dhibitisho kama unazo la sivyo fyata na uomboleze kimya kimya.,
 
Direct from the Kitchen. Built by Banbros East Africa.

1724490901686.jpeg

1724490928058.jpeg
 
Zile zilikua campaign promises, unajua tofauti ya kutoa ahadi na propaganda?.., nyie ndio chief ama wakuu wa kubebwa ufala tokea mababu sasa ni nyie vitukuu na hambadiliki hivi karibuni..,
Mbona Ruto anarudisha ile finance bill kama alivyorudisha mawaziri waliokuwepo hii sio kubebwa ufala and yet people lost their lives.
 
Back
Top Bottom